Nimempenda mtoto huyo kwani ana akili ya haraka kung'amua tatizo la kulitolea ufumbuzi sahihi. Hii nzuri3-konda akaona kana mzingua akamuuliza kama babaako angekuwa mlevi na mamaako angukuwa malaya wewe ungekuwa nani? 4-Katoto kakajibu ningekuwa konda wa daladala hapo abiria wote wakacheka
Katika daladala katoto kanursery kanaimba. 1-kama baba angekuwa jogoo na mama mtetea mimi ningekuwa kifaranga abiria wote kimya 2-baba angekuwa beberu na mama mbuzi mimi ningekuwa ndama. 3-konda akaona kana mzingua akamuuliza kama babaako angekuwa mlevi na mamaako angukuwa malaya wewe ungekuwa nani? 4-Katoto kakajibu ningekuwa konda wa daladala hapo abiria wote wakacheka