The Sunk Cost Fallacy 2
JF-Expert Member
- Nov 8, 2022
- 9,436
- 10,944
Waliosema mtoto wa nyoka Ni nyoka hawakukosea maana nyoka hawezi kuzaa kenge.
Kijana kiume wa Christiano Ronaldo almaarufu CR7 amerithisha Moto kwa binti yake ambae nae anaendelea kukiwasha huko kwenye timu mbalimba za under 14.
Mtoto wa Messi vipi huko?
Hizi hapa Ni takwimu zake,yaani Baba Yake akasome 👇