Mtoto wa Nyoka hawezi kuwa kenge. Mtoto wa CR7 anakiwasha Kama Baba Yake

The Sunk Cost Fallacy 2

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2022
Posts
9,436
Reaction score
10,944
Waliosema mtoto wa nyoka Ni nyoka hawakukosea maana nyoka hawezi kuzaa kenge.

Kijana kiume wa Christiano Ronaldo almaarufu CR7 amerithisha Moto kwa binti yake ambae nae anaendelea kukiwasha huko kwenye timu mbalimba za under 14.

Mtoto wa Messi vipi huko?

Hizi hapa Ni takwimu zake,yaani Baba Yake akasome πŸ‘‡
 
sawa, ila sio mara zote mkuu kwa kuwa sio constant au formular!
 
Mtoa mada unaonekana ni mjinga sana

Tuonyeshe huyo binti


Sent using Jamii Forums mobile app
 
"Licha ya kuwa na miaka 12 amekuwa akicheza timu za U-14"

Mwandishi wa media kubwa kama hiyo bado haijui matumizi ya neno Licha au mimi ndio sielewi sababu miaka 12 yupo kwenye age sahihi ya Under 14 kwa hiyo hana cha ziada alichofanya kwenye kipengere cha umri na timu anazochezea.
 
Kukosewa kwa heading kumeharibu uzi mzima.

Alipoitoa taarifa nao ni waandishi wa habari makanjanja kama mleta uzi.

Jipange upya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…