Kukaja Kununu
JF-Expert Member
- Mar 27, 2017
- 1,077
- 1,208
Leo tarehe 01 May ni siku ya kumbukizi ya kuzaliwa kwa Marehemu Ruge Mutahaba aliyetangulia mbele za haki miezi miwili iliyopita. Siku ya jana Mwanaye Mwachi Mutahaba aliongea na Millard ayo kuelezea mahusianao ya marehemu baba yake na msanii wa bongofleva Nandy..tazama hapa