MTOTO WA RUGE "NANDY ALIKUWA MPENZI WA BABA"

Kukaja Kununu

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2017
Posts
1,077
Reaction score
1,208
Leo tarehe 01 May ni siku ya kumbukizi ya kuzaliwa kwa Marehemu Ruge Mutahaba aliyetangulia mbele za haki miezi miwili iliyopita. Siku ya jana Mwanaye Mwachi Mutahaba aliongea na Millard ayo kuelezea mahusianao ya marehemu baba yake na msanii wa bongofleva Nandy..tazama hapa
 
Endelea kupumzika kwa amani Ruge
 
Dogo fala ,demu wa baba muheshimu kama mama yako wa kambo. Anapoana kila siku ulikozaliwa we we.
 
Dogo hana adabu!!! mpenzi wa baba yako ni mama yako!!! ungemtaja ni " MAMA" badala ya kumwita mpezi wa baba
 
R.I.P Ruge ,ila Ruge alikuwa kiboko kula watu anaofanya kazi nao Clouds na THT au ni wao hawa mambinti walikuwa wanamseduce ili watoke kwenye maisha kupitia mziki na utangazaji.
 
Jamaa alikua bingwa wa kuchagua kuku wa kula na bingwa wa kusambaza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…