Mtoto wa waziri mkuu wa zamani, Fredrick Sumaye , Frank Sumaye amefunga ndoa na Anna Temu kwenye kanisa la Azania Front na sherehe za harusi yake kufanyika Ubungo Plazza zikihudhuriwa na viongozi kibao kuanzia Mkapa, Pinda, Warioba, na wengineo kibao.
Thanks for the utamu updates hata kuna mtoto wa mzee Mushi kule machame kaoa juzi, na mtoto wa muchunguzi aliolewa Dar na hata mtoto wa Mze Seif alioa kimanzichana
Mkuu mbona hausomeki? Halafu font 40..vp tena? ^_^!
"Asiyejua maana haambiwi maana"
Mkuu mbona hausomeki? Halafu font 40..vp tena? ^_^!
Anasomeka bwana......Mjomba hapo ujumbe ni kwamba mbona wengine hawatangazwi!!!!! who is Frank Sumaye?
Hata mimi kaka yangu Shemahonge kaoa Ijumaa, msikiti wa kwaMtoro Tanga, sherehe zilifanyika uwanja wa mkwakwani, Tanga.
Harusi hiyo ilifana sana ingawa kuna kibaka alikamatwa akijaribu kuchomoka na baadhi ya zawadi walizoletewa maharusi.