MwanaFalsafa1
JF-Expert Member
- Feb 26, 2008
- 5,565
- 843
aisee wacha jamani
ana sura ya kifisadi kama babake;hayupo BOT huyu???
Mtoto wa Sumaye Apata Jiko, Viongozi Kibao Wahudhuria Harusi Yake
Mtoto wa Sumaye, Frank Sumaye akiwa na mkewe Anna Temu wakati wa sherehe za harusi yao Monday, May 25, 2009 4:53 AM
Viongozi mbalimbali wa serikali walihudhuria harusi hiyo. Miongoni mwa viongozi waliohudhuria ni Waziri Mkuu Mizengo Pinda na Mkewe Tunu Pinda, Rais Mstaafu Benjamin Mkapa na mkewe mama Anna Mkapa, Mawaziri wastaafu Cleopa Msuya, Dk Salmini pamoja na Joseph Warioba na mkewe Catherine Warioba. Wengine ni wabunge mbalimbali na wakuu wa mikoa wakiongozwa na Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, William Lukuvi.
"Kupata jiko" is rather Chauvinistic, wouldn't you say?
How would the general feeling be if the touting was "Binti Temu apata buzi" or as the updated lingo seems to go, "Binti Temu apata ATM"?
Nahisi lowassa alikuwa bado anawakumbuka wahanga wa mabagala jamani
aisee wacha jamani
ana sura ya kifisadi kama babake; hayupo BOT huyu???
I like this!"Kupata jiko" is rather Chauvinistic, wouldn't you say?
How would the general feeling be if the touting was "Binti Temu apata buzi" or as the updated lingo seems to go, "Binti Temu apata ATM"?
BWM yupo relaxed kweli jamaniii!!! kumbe haya majungu dhidi ya serikali yake ameyashtukia wala hayamsumbuiiiii!!!Picha zaidi za mtoto wa fisadi sumaye
Lakini anaonekana kama amepungua vile....BWM yupo relaxed kweli jamaniii!!! kumbe haya majungu dhidi ya serikali yake ameyashtukia wala hayamsumbuiiiii!!!
...bwana wee,lilikatwa fungu fulani hivi basi ajali ikawa fahari-familia husika ilisamehe na kusahau.Hivi ile ajali ya Frank kumgonga mtu pale mbuyuni Oysterbay (Late 1990es) iliishia wapi???
Mwanamke mwenyewe mbona mnene namna hiyo?
Kashindwa ku lose weight karibu na harusi yake?
Tazama nguo ya harusi inavyombana
....the beauty is in the eyes of the beholder..Labda ndicho kilichomvutia bwanaharusi.One man's meat is another man's poison so they say.