Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 57,951
- 32,619
Huku kwetu tunaita wasiojulikana
Huko Kenya Leo waziri WA UtuMISHI KENYA amefika polisi kutoka malalamiko ya mwanae kutoweka pasipojulikana
Akiongea kwa huzuni amesema. Wiki iliyopita alitoa malalamiko kwa usalama WA taifa KUSHIRIKI kutoweka kwa wananchi kenya
Na amesema hatojiuxulu kwa kusema ukweli na Yuko tayari kufukuzwa na MH RAISI Ruto
Amesema ANASHANGAA kuona BAADA ya kauli Ile mwanae ametoweka ana siku kadhaa sasa na ameshtumu polisi na serikali kuharakisha mwanae kupatikana akiwa hai
Aiseeeee hizodhambii n ngumukilasehemu