Rais William Ruto Utawala wake ni kama vile alivyokuwa akifanya Rais Daniel arap Moi enzi za KANU, wakosoaji wa Utawala wake walikuwa wanatekwa bila woga.Huku kwetu tunaita wasiojulikana
Huko Kenya Leo waziri WA UtuMISHI KENYA amefika polisi kutoka malalamiko ya mwanae kutoweka pasipojulikana
Akiongea kwa huzuni amesema. Wiki iliyopita alitoa malalamiko kwa usalama WA taifa KUSHIRIKI kutoweka kwa wananchi kenya
Na amesema hatojiuxulu kwa kusema ukweli na Yuko tayari kufukuzwa na MH RAISI Ruto
Amesema ANASHANGAA kuona BAADA ya kauli Ile mwanae ametoweka ana siku kadhaa sasa na ameshtumu polisi na serikali kuharakisha mwanae kupatikana akiwa hai
Aiseeeee hizodhambii n ngumukilasehemu
Yes, ndio maana unaona Watu Wana Uhuru wa kujieleza na wa kutoa maoni yao, hata kama Mtu huyo ni Mshirika wa karibu Sana wa Mtawala aliyopo madarakaniKenya ni nchi ya kidemokrasia kweli kweli.
Kwa Tanzania waziri hawezi kuthubutu kusema hivyo(kulaumu na kumshutumu serikali), Bongonyoso hakuna demokrasia katika kiwango hicho.Huku kwetu tunaita wasiojulikana
Huko Kenya Leo waziri WA UtuMISHI KENYA amefika polisi kutoka malalamiko ya mwanae kutoweka pasipojulikana
Akiongea kwa huzuni amesema. Wiki iliyopita alitoa malalamiko kwa usalama WA taifa KUSHIRIKI kutoweka kwa wananchi kenya
Na amesema hatojiuxulu kwa kusema ukweli na Yuko tayari kufukuzwa na MH RAISI Ruto
Amesema ANASHANGAA kuona BAADA ya kauli Ile mwanae ametoweka ana siku kadhaa sasa na ameshtumu polisi na serikali kuharakisha mwanae kupatikana akiwa hai
Aiseeeee hizodhambii n ngumukilasehemu
Atatekwa mchana kweupe au kuwekewa sumu endapo kama watakuwa wanamheshimu Sana.Kwa Tanzania waziri hawezi kuthubutu kusema hivyo(kulaumu na kumshutumu serikali), Bongonyoso hakuna demokrasia katika kiwango hicho.
Ha ha ha....Yes, ndio maana unaona Watu Wana Uhuru wa kujieleza na wa kutoa maoni yao, hata kama Mtu huyo ni Mshirika wa karibu Sana wa Mtawala aliyopo madarakani
Na Maria kasisitiza sana hilo.Kenya ni nchi ya kidemokrasia kweli kweli.
Shauri yake.Na Maria kasisitiza sana hilo.