Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,817
Mtoto wa anti christ Will Smith ajulikanye kama Jaden Smith akitomasana na Mwanaume mwenzake, bado watoto wa anti christ Obama nao muda siyo mrefu watamwaga radhi pia live!
Will Smith ni muumini wa Dini ijulikanayo kama Scientology ikiwa na Wanachama maarufu kama Tom Cruise, wote hawa ni wapinga Kristo!
Hapa wakiwa stejini wanaangaliana kwa mahaba kabisa!
Hapa Jaden enzi za Uanaume wake akiwa na Demu wake, sasa imebakia Historia ni Wanaume tu kwa kwenda mbele!

Wakianza kukaribiana!
Hapa tayari wameshakulana mate!