Ni movie mkuu
[emoji23] [emoji23] [emoji85] romantic movieHiyo movie inaitwaje?
Umekurupuka mkuu,Mtoto wa anti christ Will Smith ajulikanye kama Jaden Smith akitomasana na Mwanaume mwenzake, bado watoto wa anti christ Obama nao muda siyo mrefu watamwaga radhi pia live!
Will Smith ni muumini wa Dini ijulikanayo kama Scientology ikiwa na Wanachama maarufu kama Tom Cruise, wote hawa ni wapinga Kristo!
Hapa wakiwa stejini wanaangaliana kwa mahaba kabisa!
Wakianza kukaribiana!
Hapa tayari wameshakulana mate!
Hapa Jaden enzi za Uanaume wake akiwa na Demu wake, sasa imebakia Historia ni Wanaume tu kwa kwenda mbele!
Fanya research ya kutosha kabla ya kuposti vitu, huyo dogo siyo shoga. Google halafu cheki hiyo picha kwenye muvi zake. Haliwi mate.
Hapa mkuu inawezekana uliamua tu kutotaka kumuelewa alikuwa anamaanisha vijana wa kimerekani sio mabinti wa Obama Sasha na MariaThread yenyewe ya kishabiki lazima utamiss point. Sasa hao watoto wa Obama wanakujaje kwenye issue ya Jaden. Una wivu tu unakusumbua, poor you.
Na mambo ya anti-christ nayo pia sijui yanahusika nini na uchafua wao (kama kweli). Udini huu ni shida tupu.Thread yenyewe ya kishabiki lazima utamiss point. Sasa hao watoto wa Obama wanakujaje kwenye issue ya Jaden. Una wivu tu unakusumbua, poor you.
HahahaCc wabongo bhana tushazoea choko choko
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] dah[emoji23] [emoji23] [emoji85] romantic movie