Mtoto wa Will Smith (Jaden Smith) azama kwenye penzi zito la mdogo wake Kim Kardashian

Mtoto wa Will Smith (Jaden Smith) azama kwenye penzi zito la mdogo wake Kim Kardashian

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
13,053
Reaction score
6,304


Kylie Jenner (mdogo wa Kim Kardashian) na Jaden Smith mambo si mabaya. Binti sasa anapata huduma zote anazostahili mtoto wa kike kupata kutoka kwa mpenzi wake wa kiume. Ili linathibitika pale ambapo kidume kiliingia SONARA na kununua mkufu wa dhahabu na kumvalisha mpenzi wake. Wapenzi hawa wote wanatoka
 
wasije wakauana nao kama hawa ndugu zetu wa bongo
 
hao kina kardashian gold digging hata kwa wakiume!!!
 
Back
Top Bottom