Mtoto wangu ametoka vijipu vidogo kwenye macho

Mtoto wangu ametoka vijipu vidogo kwenye macho

Nyasigwa

R I P
Joined
Mar 5, 2012
Posts
36
Reaction score
12
Wadau habari zenu, mimi mtoto wangu anasumbuliwa na viuvimbe vidogo kwenye macho ukibinjua jicho kwa chini au juu
kuna ngozi nyekundu kwa ndani basi mtoto wangu anatokwa na vijipu vidogo sana kwenye hiyo ngozi nilimpeleka muhimbili wakamfanyia upasuaji wakavitoa nikajua tatizolimeisha baada ya muda vikarudi tena nikaenda CCBRT wakaniambia nimkande maji ya uvuguvugu asubuhi na jioni lakini wapi naombeni msaada wenu nini tiba yake mtoto wangu ana miaka saba sasa ameanza kusumbuliwa tangu alivyokuwa na miaka mitano
 
MziziMkavu Asante sana ntamrudisha tena Muhimbili halafu ntakujulisha ntakapofikia nashukuru sana
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom