Mtoto wangu anakohoa, kuharisha na kutapika

Mtoto wangu anakohoa, kuharisha na kutapika

baba aura

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2023
Posts
254
Reaction score
393
Wakuu nina mtoto ana kohoa, anaharisha na mbays zaidi nikimpa dawa anatapika ,hodpitali nimeenda tukapimwa na kulazwa kwa siku moja na nusu then tukaruhusiwa.

Lakini bado mtoto anaharisha na kukohoa ata nikimnywesha dawa anatapika.

Naombeni ushauri wenu mliokumbwa na tatizo kama hili nanyi wataalamu.
 
Wakuu Nina mtoto ana kohoa ,anaharisha na mbays zaidi nikimpa dawa anatapika ,hodpitali nimeenda tukapimwa na kulazwa kwa siku moja na nusu then tukaruhusiwa

Lakini bado mtoto anaharisha na kukohoa ata nikimnywesha dawa anatapika

Naombeni ushauri wenu mliokumbwa na tatizo kama hili nanyi wataalamu
 
Usiogope! Mrudishe hospitali wambadilishie matibabu na ushauri zaidi!
 
Wakuu Nina mtoto ana kohoa ,anaharisha na mbays zaidi nikimpa dawa anatapika ,hodpitali nimeenda tukapimwa na kulazwa kwa siku moja na nusu then tukaruhusiwa

Lakini bado mtoto anaharisha na kukohoa ata nikimnywesha dawa anatapika

Naombeni ushauri wenu mliokumbwa na tatizo kama hili nanyi wataalamu
Ameandikiwa dawa zipi mkuu,
 
Vip ni kukohoa pekee ama ana mafua pia?
 
Sio kila hospitali inatambua ugonjwa wa mtu kama upo arusha nenda arusha medical centre na pia na namba za daktari alinisaidia. Kama upo dar sijui sasa siwezi advice.
 
Back
Top Bottom