Ameandikiwa dawa zipi mkuu,Wakuu Nina mtoto ana kohoa ,anaharisha na mbays zaidi nikimpa dawa anatapika ,hodpitali nimeenda tukapimwa na kulazwa kwa siku moja na nusu then tukaruhusiwa
Lakini bado mtoto anaharisha na kukohoa ata nikimnywesha dawa anatapika
Naombeni ushauri wenu mliokumbwa na tatizo kama hili nanyi wataalamu