Nawe pia unatakiwa uzingatie ulaji sahihi ili kutengeneza maziwa kwa mwanao.. Kumbuka kipindi cha unyonyeshaji wa mtoto, mtoto anategemea virutubisho uvipatavyo kupitia aina ya vyakula unavyokula.Ila unaona limeisha maziwa kabisa.dkk kumi nyingi sana Mkuu hata mtoto mwenyewe hatonyonya sasa
Nakula vizuri sana Mkuu .kwenye tumbo sinaga shidaNawe pia unatakiwa uzingatie ulaji sahihi ili kutengeneza maziwa kwa mwanao.. Kumbuka kipindi cha unyonyeshaji wa mtoto, mtoto anategemea virutubisho uvipatavyo kupitia aina ya vyakula unavyokula.
Kama kutwa nzima kula yako sio sahihi/huzingatii chakula kitakacho kuwa na faida kwa mtoto, hilo nalo linakuwa tatizo.
Dokta alisema hvo hvo ila misosi yote inaenda wapi?Mtoto kupitisha hadi siku saba nikawaida
Mimi ni mama mzuri sana Mkuu yaani huwezi aminiHuyo Mtoto Namuhurumiaa...
Na ww Mama?!!???!??
Hahahaa! Mama ni mamaHuyo Mtoto Namuhurumiaa...
Na ww Mama?!!???!??
Ahahaaa kwani nipoje jamaniHahahaa! Mama ni mama
Bax xawa...Mimi ni mama mzuri sana Mkuu yaani huwezi amini
Tatizo hf kuna watu wapo judgmental sana.wanaonijua humu wanaujua ukweliAaaah! Mimi sijui, ila nimemjibu tu mkuu hapo juu..Siujui mtazamo wake kwako.
Shenzy six month unataka apuu ubongo au nini? Acha mtoto akue na chakula kitumike...Kwa umri huo hata asipo puu week mbili ni poa tu.... Halafu mbona kama unampa mavyakula magumu wakati bado umri????Six month
AhahaaaShenzy six month unataka apuu ubongo au nini? Acha mtoto akue na chakula kitumike...Kwa umri huo hata asipo puu week mbili ni poa tu.... Halafu mbona kama unampa mavyakula magumu wakati bado umri????
Asante itanifaa siku za usoniKwa mtoto mdogo kupitisha siku 2-3 bila kupata choo si kawaida, kutakuwa kuna shida kidogo.
A) Kwa mtoto anayenyonya.
Unatakiwa ujue kama mtoto ananyonya vizuri, vile vile uzingatie hali ya lishe ya mama kwasababu hiyo ndo huchangia kwenye kutengeneza maziwa ya mama.
Kwa kawaida kiafya mtoto anatakiwa anyonyeshwe dakika 20 ziwa moja. Kwasababu unyonyaji wa mtoto dakika 10 za mwanzo kinachotoka ni maji kwa wingi pasipo kuwa na nutrients za kutosha kwenda kwa mtoto, dakika 10 zinazofuata ndo kunakuwa na nutrients za kutosha.
Akina mama walio wengi hawafuati/hawajui utaratibu huu hivyo kupelekea mtoto kuhamishwa hamishwa manyonyo hata kabla ya dk 10. Hivyo kupelekea mtoto kupata maji ziwa hili na kumalizia kupata maji ziwa lingine, anakosa virutubisho vya kutosha, hivyo kupelekea shida katika upatikanaji wa choo.
Endapo mtoto ananyonya vizuri na tatizo likaendelea kuwepo kuna uwezekano mkubwa kukawa na shida katika mfumo wa chakula (Mara nyingi tumbo linakuwa kubwa na anaweza kupata maumivu makali ya tumbo.
B) Mtoto anatakiwa apewe chakula chenye nyuzinyuzi (fibres) kwa wingi, ambavyo ni pamoja na:-
-Matunda
-Mboga za majani
-Maji ya kunywa ya kutosha.
Inashauriwa mtoto mwenye mwaka 1-2 anywe lita 1.3 kwa siku.
-Vyakula vyenye maji maji.
Hivyo basi jaribu kuangalia wapi haupo sahihi katika lishe ya mtoto ili urekebishe. Endapo tatizo litaendelea jaribu kufika hosp. kwa uchunguzi zaidi.
Yani hujijui hata ulivyo!??Ahahaaa kwani nipoje jamani
Ungejua nilivompata huyu mtoy wala usingeandika kituYani hujijui hata ulivyo!??
Huyo mtoto umeokota wewe...si bure.
Ni kawaida kwa watt wanaokua na kuanza kula vyakula vingine nje na maziwa ya mama tuAna six month
Akipupu jpili mpaka ijumaa au jpili tena
Ana siku tatu anakula tu sioni choo
Asante mkuuNi kawaida kwa watt wanaokua na kuanza kula vyakula vingine nje na maziwa ya mama tu
Ktk umri huo tumbo la mtoto huwa linachukua virutibisho vingi kuingia mwilini tofauti na alipokuwa umri wa chini ya miezi miwili alikuwa anapoop many time per day hata mara tu baada ya kumaliza kumnyonyesha.
Ni mabadiliko ya kawaida na anaweza pata kitu inaitwa constipation kwa kua ndy kaanza kula vyakula mchanganyiko lkn cha muhimu zingatia kama ambayo aliyokushauri mdau kuhusu lishe kwa mtt na unyonyeshaji muhimu sana.lkn ukiona inazidi siku zinasonga muwahishe hosp upate msaada na ushauri zaidi kutoka kwa wataalamu wa watt.
Note;
>A newborn baby, from day 5 or 6 of living, may poop after every feeding.
>At 1-month-old, the average is still some 4 times per day.
>By the time your baby is 2 months old, the average has dropped to 1 time per day.
>At 3 months, a fully breastfed baby may go for up to 10 or 14 days without pooping. They grow rapidly and digest practically everything they consume.
Wasi wasi ndy akil.
Ahahaaa kanaogopa maji au nini?Kama hakana tatizo according to doctor usijali.
Ila kupupu nako vinakera. Wangu alikuwa anapupu tuu nikimweka kwenye beseni kumwogesha. Natamani umpatee
Duuuuhh Ngoja Wajuz WajeKachanga bado Leo ndo kameanza kula eti
Toka azaliwe coco