Mtoto wangu jamani

Inauma sana kama mzazi,Mungu ni mwema ataonesha njia kwa mtoto huyu,nakuomba baraka dada
 
Pole dear.ndio madactari wetu sikuhiz majanga tupu sijui ndio mgomo baridiii..kuuguliwa mtoto mh ngumu sana..sali sana.nakuombea.chukua ushauri Wa bibi com pia nadhan utafaa..maana hapa nchini kwetu sijui nini kinaendelea madactari hakuna kabsaa
 
chaajabu ananguvu sana mwilini mwake..yan dah.hata sielewi..
MUNGU Mkubwa zidisha MAOMBI kuna siku utashangaa kwani umeshasema anazo nguvu mwilini mwake
 
Pole sn. Endelea kumtafutia tiba.

Pia yawezekana kapata hasad, so kwa imani yako sali sn, na kufunga na kuomba Mungu ampe afuan ya haraka.

Na km unaamini katika miti shamba jaribu huko pia, upate zile za kupaka, na kuchua zaweza kumsaidia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…