mnyandzombe
JF-Expert Member
- Jul 24, 2015
- 245
- 194
Habari wapendwa
Naomba kufahamu katika hili. Nina watoto mapacha wamekutwa na upungufu wa damu mwilini kiasi cha kutoka vidonda mdomoni. Hawawezi hata kula vizuri.
Je nini chanzo cha tatizo hili na tiba yake? Ushauri pia ni muhimu.
Natanguliza shukrani
Sent using Jamii Forums mobile app
Shukrani kwa mawazoHapo nadhani huo upungufu wa damu umetokana na kukosa vitamins hasa b12 au madini ya chuma
Ushauri
Nadhani hospitali ni sehemu sahihi watakakokupatia nini cha kufanya pamoja na injection za hizo vitamins
Pia ongeza vyakula kama mboga majani maini kwa mama kama unanyonyonyesha na kwa mtoto pia
Sent from my iPhone using JamiiForums
Shukrani sanatatua tatizo hilo mapema sana. Mwaka jana mwishoni binti mdogo amezikwa kijijini kwetu kwa tatizo hilo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nadhani hii ni forum ya madaktari hivyo sijakoseaWatanzania wamekuwa wajinga sana siku hizi
Mtu kaambiwa na Daktari mwanao ana upungufu wa Damu......... hamuulizi Daktari anaenda mtandaoni kuuliza
Sent using Jamii Forums mobile app
Nashukuru kwa ushauriHao Watoto wana umri gani?
Kama wana chini ya mwaka mmoja na unawapa maziwa fresh ya ng'ombe ni tatizo. Huwa yanazuia absorption ya iron ambayo inahusika katika utengenezwaji wa damu
Asante kwa mara nyingine tenaKama wako kwenye umri wa kula uwe unawapa supu ya matembele
Wapo chini ya mwaka mmojaHao Watoto wana umri gani?
Kama wana chini ya mwaka mmoja na unawapa maziwa fresh ya ng'ombe ni tatizo. Huwa yanazuia absorption ya iron ambayo inahusika katika utengenezwaji wa damu
Asante kwa ushauri piaInaonekana maziwa ya mama hayawatoshelez hao mapacha, ndiyo maana wamepata hayo matatizo na usipoangalia wataenda kweny malnutrition a.k.a utapiamlo.
Najua mmepewa ushauri mzuri sana hospitali hivyo ufuateni kwa makini, humu utaambiwa vingi sana na unaweza usiweze kujua ufuate lipi na uache lipi.
Mwisho kabisa tuambie wamekutwa na damu ngapi kila mmoja?
Watanzania wamekuwa wajinga sana siku hizi
Mtu kaambiwa na Daktari mwanao ana upungufu wa Damu......... hamuulizi Daktari anaenda mtandaoni kuuliza
Sent using Jamii Forums mobile app