Alijufungulia hospitali?Habari wakuu! Mke wangu amejifungua mtoto Wa kiume tangu tarehe 2 mwezi huu Wa Tatu. Ila mtoto tangu amezaliwa hafumbui macho, hawezi kunyonya, hatikisiki yaani viungo vya mkono na miguu havitikisiki. Maziwa anapewa kupitia mabomba. Ila anapumua na kupata choo . Naomba msaada wenu. Kama kuna hospitali au daktari ambaye ni specialist Wa watoto naomba nielekezwe.
Mzazi pole Sana.Habari wakuu! Mke wangu amejifungua mtoto Wa kiume tangu tarehe 2 mwezi huu Wa Tatu. Ila mtoto tangu amezaliwa hafumbui macho, hawezi kunyonya, hatikisiki yaani viungo vya mkono na miguu havitikisiki. Maziwa anapewa kupitia mabomba. Ila anapumua na kupata choo . Naomba msaada wenu. Kama kuna hospitali au daktari ambaye ni specialist Wa watoto naomba nielekezwe.
Ndio alijifungulia hospitaliAlijufungulia hospitali?
Daktari hakumfanyia initial assessment mara baada ya kujifungua? Hata hivyo kamuone daktari wa watoto paediatrician.Ndio alijifungulia hospitali
Daktari kamuanzishia dozi ya sindano lakini hali bado IPO vilevile. Daktari Wa watoto sijajua nampata hospitali ganiDaktari hakumfanyia initial assessment mara baada ya kujifungua? Hata hivyo kamuone daktari wa watoto paediatrician.
Ukisali omba sana mungu atamtia nguvu ,Japo hukutaja una ishi wapi ila kama una uwezo nenda mtwara masasi kuna hospitali imefunguliwa na wachina ni madaktar wazur sana huenda akapata matibabu ..Habari wakuu! Mke wangu amejifungua mtoto Wa kiume tangu tarehe 2 mwezi huu Wa Tatu. Ila mtoto tangu amezaliwa hafumbui macho, hawezi kunyonya, hatikisiki yaani viungo vya mkono na miguu havitikisiki. Maziwa anapewa kupitia mabomba. Ila anapumua na kupata choo . Naomba msaada wenu. Kama kuna hospitali au daktari ambaye ni specialist Wa watoto naomba nielekezwe.
Kwani uko wapi? Muhimbili wapo lakini pia private hospitals utawapata.Daktari kamuanzishia dozi ya sindano lakini hali bado IPO vilevile. Daktari Wa watoto sijajua nampata hospitali gani
Amejifungulia hospitali ya Kilwa masokoUkisali omba sana mungu atamtia nguvu ,Japo hukutaja una ishi wapi ila kama una uwezo nenda mtwara masasi kuna hospitali imefunguliwa na wachina ni madaktar wazur sana huenda akapata matibabu ..
Mkuu jisogezeni mpaka Muhimbili anaweza kupata vipimo vitakavyoleta ufumbuzi.Amejifungulia hospitali ya Kilwa masoko
Sawa. AsanteMkuu jisogezeni mpaka Muhimbili anaweza kupata vipimo vitakavyoleta ufumbuzi.
sawa nadhan kilwa si mbali sana na masasi wacha nifanye mawasiliano na watu wa kule nikupatie namba zao uwasiliane nao kama upo tayariAmejifungulia hospitali ya Kilwa masoko
Nimejaribu kufatilia rufaa hawataki. Wanasema mtoto mchanga hawapewi rufaa.Ina maana hiyo hospital wameshindwa kukupa Rufaa?
Sawa nitashukuru sanasawa nadhan kilwa si mbali sana na masasi wacha nifanye mawasiliano na watu wa kule nikupatie namba zao uwasiliane nao kama upo tayari
Sawa. ShukraniNadhani hatua za Haraka ni kumtoa Huko na Kumleta Muimbili kama Mawazo ya wengi yanavyokushauri.
All the Best Kamanda...