Daktari anasema "Amezaliwa akiwa amezidisha umri Wa kukaa tumboni. Amezaliwa akiwa na miezi kumi"Pole sana kwa matatizo yanayomsumbua mtoto wako. Mimi ningeomba kuuliza...je kabla hajazaliwa mama alikuwa anapata/kusikia mtoto akicheza tumboni kama kawaida? Na je amezaliwa kwa njia yakwaida au upasuaji? Mwisho ujauzito ulikuwa umekamilika? Nikimaanisha amezaliwa kipindi chake Na sio kawahi au kachelewa kuzaliwa?
habari! Nisaidie hiyo namba ya docta RichardKuna dr mzuri wa watoto anaitwa dr Richard yuko muhimbili yy ni kiboko njoo pm nikupe no yake yan anaubinadamu kuliko unavyojua ww hat kumtaka ushaur kwa cm anapokea anakushauri hat kam ni usk ni zaid ya dr
0713439291habari! Nisaidie hiyo namba ya docta Richard
Mtoto anaendeleaje?Daktari anasema "Amezaliwa akiwa amezidisha umri Wa kukaa tumboni. Amezaliwa akiwa na miezi kumi"
Anaendelea vizuri japo sio sana. Ameanza kutikisa miguu na mikono tu. Hawezi kunyonya mwenyewe wala haliiMtoto anaendeleaje?
Asante sana0713439291
Ameanza kutikisa miguu na mikono .hawezi kunyonya mwenyewe wala halii .Vipi hali ya mtoto wako mkuu? Umefikia wapi?
Bado uko hapo Kilwa Masoko? Wanakwambia shida gani inapelekea hali hiyo?Ameanza kutikisa miguu na mikono .hawezi kunyonya mwenyewe wala halii .
Hapana sio njiti. Kazaliwa akiwa amezidisha umri tumboni.Mwanao ni njiti?
Daktari hajaweka bayana tatizo la mtoto. Japo kuna Nesi kaniambia mtoto ameathirika kichwani kutokana na complication during deliver. Ila daktari hajatuambia chochoteBado uko hapo Kilwa Masoko? Wanakwambia shida gani inapelekea hali hiyo?
Situation sio ngeni lakini hiyo imezidi, jitahidi kufanya uamuzi sahihi.
Ndio mtoto alivutwapole sana Ndugu...Mama Alijifungua kwa njia gani kwani,labda mtoto alivutwa au?