Pole sana, daktari inamlazimu akwambie tatizo la mtoto wako kwa kina na namna ambavyo amepanga matibabu yake. Kama hawezi kukwambia hayo nenda kwa Daktari mkuu. Ikishindikana chukua mwanao mpeleke Private Hospital au Muhimbili kama ambavyo umeshauriwa humu. Ukiendelea kukaa hapo tatizo linaweza kuwa kubwa.Daktari hajaweka bayana tatizo la mtoto. Japo kuna Nesi kaniambia mtoto ameathirika kichwani kutokana na complication during deliver. Ila daktari hajatuambia chochote
Mpeleke hata ndanda ndio karibuHapana sio njiti. Kazaliwa akiwa amezidisha umri tumboni.
Kwa hiyo unatushauri tufanyeje?Referral Mara nyingi inatolewa kama hospitali aliolazwa hawana uwezo Wa kumtibu; ila kama mtoto hukulia Mara baada ya kuzaliwa, au alivutwa kwa kutumia vifaa maalum au mama alipata uchumngu Wa muda mrefu ambao ulisababishwa atolewe kwa kuvutwa; inawezekana aliumia ubongo (damage of immature brain) kitaalam amepata Cerebral Palsy; na ukubwa Wa tatizo utategemea alichukua muda gani kulia, na inaathiri uwezo Wa misuli kufanya kazi
Muhimbili mtoto anapokelewa kwa rufaa. Bila barua ya rufaa huwezi kupata msaada muhimbili. Hapa hospitali nilipo hawataki kutoa rufaa
SawaMpeleke hata ndanda ndio karibu
AsantePoleni Sana,tunazidi kuwaombea. Mungu mfanyie wepesi,litapita hili. Muaminini Mungu tu
Kweli kabisa pale karibu na stand nawajua wale jamaa wapo vzur sanaUkisali omba sana mungu atamtia nguvu ,Japo hukutaja una ishi wapi ila kama una uwezo nenda mtwara masasi kuna hospitali imefunguliwa na wachina ni madaktar wazur sana huenda akapata matibabu ..
ni sawa mkuu ila nadhan atakua amepata matibab muhmbili maana weng walimshaur aende DarKweli kabisa pale karibu na stand nawajua wale jamaa wapo vzur sana
Nimepewa federal ya hospitali ya Sokoine Lindi. Nimeambiwa kuna specialist Wa watotoni sawa mkuu ila nadhan atakua amepata matibab muhmbili maana weng walimshaur aende Dar
Nipo Lindi hospitali ya Sokoine . bado hali si nzuriNdugu siku karibu 20 baadae bado upo tu huko Kilwa?
Pole Sana. Inabidi umpeleke muhimbili .mungu akufanyie wepesiNipo Lindi hospitali ya Sokoine . bado hali si nzuri