Mtoto wangu tangu amezaliwa hafumbui macho wala hatikisiki

Nimepata taarifa ramsi kutoka kwa daktari hapa hopitali ya Sokoine. Nimeambiwa mtoto ana utindio Wa ubongo .
 
Pole sana,wote wewe na mkeo mnahitaji uvumilivu na ujasiri katika kimlea mtoto mwenye tatizo hilo.Mungu awape wepesi.
 
Nimepata taarifa ramsi kutoka kwa daktari hapa hopitali ya Sokoine. Nimeambiwa mtoto ana utindio Wa ubongo .

Pole sana Mkuu lakini mtalipita hili jaribu.
Kuna mahali nilisoma Mtoto wa aina hiyo ukimlea vizuri ataweza kufanya shuguli zake kama
kawaida ukiachana na mapungufu yake.

Fuatilia kwa karibu ushauri wa madaktari, pia jisomee taarifa mbalimbali juu ya Watoto wa
aina hiyo.

Mungu akubariki.
 
Nimepata taarifa ramsi kutoka kwa daktari hapa hopitali ya Sokoine. Nimeambiwa mtoto ana utindio Wa ubongo .
poleni sana mkuu ila kipindi kingine mama akitaka kubeba ujauzito atumie folic acid kabla na kwenye ujauzito
 
Nimepata taarifa ramsi kutoka kwa daktari hapa hopitali ya Sokoine. Nimeambiwa mtoto ana utindio Wa ubongo .
Mungu awape nguvu,busara na hekima katika kumlea huyo mtoto
 
Pole sana I know how you feel;umenikumbusha vitu vingi sana
 
Pole mkuu tumwombe mungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…