Yes it is.Wengi hufanya uchunguzi kwa kuzaa kabla hawajasaini makaratasi....pamekuwa na hadithi, simulizi na visa vya kweli kuhusiana na wanandoa ambao wamekuwa wanahangaika kwa njia mbali mbali kutafuta mtoto/watoto bila mafanikio.
...is it a big deal kuwa na mtoto katika ndoa? kuna ulazima kabla ya kuoana kufanyiwa uchunguzi wa kitaalamu uwezekano wa ku conceive?
Mbu, don't ask questions with obvious answers. Having a child in marriage is of course a big deal...
Mbu, don't ask questions with obvious answers. Having a child in marriage is of course a big deal...
...Thanks RUGE OPINION,
ngoja nikwambie kwanini nimeuliza hivyo.
Mwenzangu kazini alimuoa childhood sweetheart wake, wakaishi maisha ya ndoa miaka si chini ya mitano. Humo walijaaliwa kazi na maisha mazuri sana, mtoto tu alikosekana.
Baada ya mwanamke kuhangaika sana kuchunguzwa vipimo bila dosari yeyote yeyote, ikaja gundulika mwanaume ndio ana xtremely weak and low sperm count. yaani hata wangezi boost vipi, isingewezekana mwanamke ku conceive.
wameachana bwana, mwanamke aliondoka kwa kashfa na matusi mengi kewa jamaa, ndio ilivyokuwa mwisho wa ndoa yao, na jamaa hana hamu hata ya kuoa tena.
Huo ndo ujinga ambao unatesa watu wengi. Nawajua wengi tu ambao wanaume wanakataa kwenda kwenye vipimo eti mwanamke pekee ndiye anaweza kuwa na matatizo ya ugumba. Hiyo low sperm count sidhani lilikuwa tatizo la kuwafanya washindwe kupata mtoto. Labda suala la pesa lakini naamini wangeweza kupata mtoto hata kwa kutungia mimba kwenye test tube kwa vile mwanaume alikuwa na viable sperms (kama hayo maelezo hapo juu ni sahihi).
Its unfortunate that our cultures have continued to blame and mistreat women on this grounds, like it always has to be the woman, never the man with fertility problems. Ila naye huyo binti kwa nini akamtukana mwenzake, unless alikuwa keshabandikiwa blamed kuwa problem anayo yeye and was soem form of pay back after kugundua dume ndilo lenye shida.
...I totally agree with you Dark City. na hata hilo la In Vitro Fertilization treatment, IVF ambalo umelizungumzia, ni baada ya mwanaume kukubali naye aangaliwe kama ana abnormality.
Hivi Tanzania kuna hospitali zenye kuwasaidia wenye mapungufu haya, au wangali kwenye giza la 'IVF is against moral issues' ilhali wanawake "tasa" wanaendelea kunyanyasika na ndoa kuvunjika?
Sina hakika na sehemu yoyote Tz ambayo wanafanya IVF. Ila najua Nairobi kenya wana sperm banks kwa hiyo naamini haya hata IVF watakuwa wanafanya.
uswazi tumeshaanza kuhoji mkuu.....5 years?...huenda bado 'wanadunduliza' ngawira kwanza.
Size ya Font zako inaboa kishenzi...Thanks RUGE OPINION,
ngoja nikwambie kwanini nimeuliza hivyo....
.
...pamekuwa na hadithi, simulizi na visa vya kweli kuhusiana na wanandoa ambao wamekuwa wanahangaika kwa njia mbali mbali kutafuta mtoto/watoto bila mafanikio.
...is it a big deal kuwa na mtoto katika ndoa? kuna ulazima kabla ya kuoana kufanyiwa uchunguzi wa kitaalamu uwezekano wa ku conceive?
Size ya Font zako inaboa kishenzi