S Shake New Member Joined Oct 11, 2013 Posts 1 Reaction score 0 Oct 12, 2013 #1 Habari wanajf naomba mnisaidie Nina mtoto wa miezi 7 hataki kula kabisa na akila huwa anatapika nimempima hospital Hana tatizo lolote,sijui nifanyeje,namnyonyesha mpaka sasa ila hataki kitu chochote zaidi ya kunyonya,naomba Msaada.
Habari wanajf naomba mnisaidie Nina mtoto wa miezi 7 hataki kula kabisa na akila huwa anatapika nimempima hospital Hana tatizo lolote,sijui nifanyeje,namnyonyesha mpaka sasa ila hataki kitu chochote zaidi ya kunyonya,naomba Msaada.