Mtotomtamuu nawasalimu wana JF

Dadadeki[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] umekoma nyani giladi!

Yuko horny kibure bure..unamtajia dau kubwaaa!!akimbie kabisaa!!
Nimeipenda hyoo!

Mkionana kawaida tu ye si aliomba na we ukaomba!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa kuna rafiki ake akaniambia vipi jamaa nikamwambia jamaa yako kakimbia alicheka. Mtu hata bill hawez kulipa kweli ananipa story zake mimi yuko horny inahusu.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] daah!kajua wewe sio size yake!

Hakuna honi wala kengele
 
So uka conclude this must be a dude?....
What if Yuko na Aibu kwa Camera....au hata na VOice call alikuzungusha?

Hatuko mbali kusikia Catfish imefika Bongo/Tanzania

Wanaume tumejawa na tamaa sana, moja ya njia ya kuepuka vishawishi ni kufanya straight conclusion kwamba that is not fit for human consumption.

So you stay out of the league and reserve your resources to a resourceful project.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…