Mwishokambi
JF-Expert Member
- Nov 23, 2020
- 473
- 1,682
Mxiuuu! Namba moja wa kukopa.kama alivyosema namba moja
Rubbish chawa.Mtu anakwambia no reforms wakat reforms zimeshafanyika na bunge lilipitisha sheria tatu hivi karibuni ikiwemo sheria ya tume ya taifa ya uchaguzi na sheria ya vyama vya siasa, we kama hukusikiliza ulikuwa ulaya shauri yako
Reforms zimeshafanyika na uchaguzi utafanyika kama alivyosema namba moja kwenye baraza la Idd
Ukiniuliza no reforms nakujibu reforms tayari, ukisema no elections nakujib uchaguzi utafanyika
Watanganyika sio wajinga tena... Lissu kawashika pabaya sanaMtu anakwambia no reforms wakat reforms zimeshafanyika na bunge lilipitisha sheria tatu hivi karibuni ikiwemo sheria ya tume ya taifa ya uchaguzi na sheria ya vyama vya siasa, we kama hukusikiliza ulikuwa ulaya shauri yako
Reforms zimeshafanyika na uchaguzi utafanyika kama alivyosema namba moja kwenye baraza la Idd
Ukiniuliza no reforms nakujibu reforms tayari, ukisema no elections nakujib uchaguzi utafanyika
Uharo wa dengu na mtori 🤣🤣🤣🤣Mtu anakwambia no reforms wakat reforms zimeshafanyika na bunge lilipitisha sheria tatu hivi karibuni ikiwemo sheria ya tume ya taifa ya uchaguzi na sheria ya vyama vya siasa, we kama hukusikiliza ulikuwa ulaya shauri yako
Reforms zimeshafanyika na uchaguzi utafanyika kama alivyosema namba moja kwenye baraza la Idd
Ukiniuliza no reforms nakujibu reforms tayari, ukisema no elections nakujib uchaguzi utafanyika
Mwenyekiti wako wa CCM aliyesema milango i wazi kwa majadiliano hujamuelewa!!??Mtu anakwambia no reforms wakat reforms zimeshafanyika na bunge lilipitisha sheria tatu hivi karibuni ikiwemo sheria ya tume ya taifa ya uchaguzi na sheria ya vyama vya siasa, we kama hukusikiliza ulikuwa ulaya shauri yako
Reforms zimeshafanyika na uchaguzi utafanyika kama alivyosema namba moja kwenye baraza la Idd
Ukiniuliza no reforms nakujibu reforms tayari, ukisema no elections nakujib uchaguzi utafanyika
Huku kwetu Shehe akionekana kwenye biashara yako ni kwamba amekuja kuizindika na kuifanyia usheitani.Yeye mwenyewe amekiri kafanya "uchafuzi" Serikali za mitaa, halafu anawanunulia viroba na pilau mnakuja jf kumwaga uharo wenu.
Sijui atajificha wapi... Aje basi na aelezee kwenye Ile clip alikua anaongelea uchaguzi gani🤣🤣Mzee Wasira bwana 😅
Jibu la hovyo la wenye uhaba wa akili. Badala ya kuulizia sababu prons and cons, unatoa conclusion ya kizwazwa!!!Mtu anakwambia no reforms wakat reforms zimeshafanyika na bunge lilipitisha sheria tatu hivi karibuni ikiwemo sheria ya tume ya taifa ya uchaguzi na sheria ya vyama vya siasa, we kama hukusikiliza ulikuwa ulaya shauri yako
Reforms zimeshafanyika na uchaguzi utafanyika kama alivyosema namba moja kwenye baraza la Idd
Ukiniuliza no reforms nakujibu reforms tayari, ukisema no elections nakujib uchaguzi utafanyika
Unafikiri Watanganyika wote ni wajinga na mataahira kama mlivyo nyinyi bila shaka.Mtu anakwambia no reforms wakat reforms zimeshafanyika na bunge lilipitisha sheria tatu hivi karibuni ikiwemo sheria ya tume ya taifa ya uchaguzi na sheria ya vyama vya siasa, we kama hukusikiliza ulikuwa ulaya shauri yako
Reforms zimeshafanyika na uchaguzi utafanyika kama alivyosema namba moja kwenye baraza la Idd
Ukiniuliza no reforms nakujibu reforms tayari, ukisema no elections nakujib uchaguzi utafanyika
Tuwekee hapa hizo reforms mkuuMtu anakwambia no reforms wakat reforms zimeshafanyika na bunge lilipitisha sheria tatu hivi karibuni ikiwemo sheria ya tume ya taifa ya uchaguzi na sheria ya vyama vya siasa, we kama hukusikiliza ulikuwa ulaya shauri yako