Mtu akifa karibia na kwangu kwa kunyongwa naweza Kamatwa?

Joined
Apr 3, 2017
Posts
88
Reaction score
18
Jamani kukutwa mtu amefariki karibu na kwangu na ni mwanangu ila mimi sikuwepo hiyo siku na ikabainika alikufa kwa kunyongwa naweza sota rumande?
 
Jamani kukutwa mtu amefariki karibu na kwangu na ni mwanangu ila mimi sikuwepo hiyo siku na ikabainika alikufa kwa kunyongwa naweza sota rumande?

Ndio,utakamatwa utapelekwa mambwepande huko utaongea ukweli mtupu unaoujua sijui unajua ugoko unavouma kule unakula makwezi ya ugoko balaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…