Mtu akifika Dar ni sehemu gani ya kwanza utamshauri atembelee?

Mtu akifika Dar ni sehemu gani ya kwanza utamshauri atembelee?

matunduizi

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2018
Posts
7,968
Reaction score
19,368
Mara ya kwanza kufika nilipelekwa Magogoni 'Striti', kisha baharini kushangaa baharini, kisha kadaraja ka Manzese.

Njoo ushauri watu machimbo ya kushangaa hasa sisi wa Miji kasoro Dar.
 
Tatizo situmii hizo kitu
kitu gani nimekitaja, na hujafika uwanja wa Fisi karibu kuna kila kitu hata hadithi na wasamaria wema
pombe wameshasema ni kifiro, pombe hakuna ila karibu
 
Nilianza kutembelea dar nikiwa na 11 yrs, then 2014 nilihamia dar, na mwaka jana nimehamishwa.

Kipindi chote hicho Sijawah kuingia mlimani cty, sijawah kufika koko beach, wala sijawah kula pweza. Sipajui masaki, wala sipajui gongo la mboto.
Naomba tu nishauriwe kwakutembelea.
 
Kikubwa kama wewe ni mgeni uliyekuja kwa treni ya mizigo au gari la ng'ombe, au lifti ya gari la maiti na umefikia kwa shemeji yako jihadhali na pombe za bure kuna kifiro!

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787]

yess BiShoo haswaaAaa
 
kitu gani nimekitaja, na hujafika uwanja wa Fisi karibu kuna kila kitu hata hadithi na wasamaria wema
pombe wameshasema ni kifiro, pombe hakuna ila karibu
Nilimaanisha kitu ambacho mtu akisikia hilo jina kitakuja kichwani mwake... Ila hiyo mitaa sijawahi fika nikienda tena nitapita.
 
stand pale unaposhukia patembelee vizuri, masaki oysterbay posta kariakoo kigambon mbagala, tandika buza airport
 
Nilimaanisha kitu ambacho mtu akisikia hilo jina kitakuja kichwani mwake... Ila hiyo mitaa sijawahi fika nikienda tena nitapita.
Karibu sana Uwanja wa Fisi Manzese hata Argentina panafaa ili ulinganishe na Masaki, Kunduchi au Ohio
 
Temeke sudan kwenye ule uchochoro ulopambwa kwa taa nyekundu na kijan huku wenye vyumba wamekaa zao nje kukuvutia mtembeaji
 
Ikulu sikuhizi kuna wanyamapori, nadhani patakufaa. Anza na utalii wa ndani
Mkuu mimi nilianziaga pale, unachungulia wale swala wakubwa na tausi. Siku hizi makirikiri kila kona na ukijchanganya unakula konzi na makofi ya kufa nyumbu.
 
Beach ya mabibo mwisho
Kimboka ya buguruni
Mara ya kwanza kufika nilipelekwa Magogoni 'Striti', kisha baharini kushangaa baharini, kisha kadaraja ka Manzese.

Njoo ushauri watu machimbo ya kushangaa hasa sisi wa Miji kasoro Dar.

Jr[emoji769]
 
Back
Top Bottom