matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 7,968
- 19,368
hujafika uwanja wa Fisi Manzese usikuSikushangaa kitu chochote dar na siwezi shangaa kamwe.
Tatizo situmii hizo kituhujafika uwanja wa Fisi Manzese usiku
yaani ukiachwa hapo Paaa hutoki utafikiri Gamboshi
kitu gani nimekitaja, na hujafika uwanja wa Fisi karibu kuna kila kitu hata hadithi na wasamaria wemaTatizo situmii hizo kitu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787]Kikubwa kama wewe ni mgeni uliyekuja kwa treni ya mizigo au gari la ng'ombe, au lifti ya gari la maiti na umefikia kwa shemeji yako jihadhali na pombe za bure kuna kifiro!
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilimaanisha kitu ambacho mtu akisikia hilo jina kitakuja kichwani mwake... Ila hiyo mitaa sijawahi fika nikienda tena nitapita.kitu gani nimekitaja, na hujafika uwanja wa Fisi karibu kuna kila kitu hata hadithi na wasamaria wema
pombe wameshasema ni kifiro, pombe hakuna ila karibu
Karibu sana Uwanja wa Fisi Manzese hata Argentina panafaa ili ulinganishe na Masaki, Kunduchi au OhioNilimaanisha kitu ambacho mtu akisikia hilo jina kitakuja kichwani mwake... Ila hiyo mitaa sijawahi fika nikienda tena nitapita.
Hata huko masaki huwa napita tu..... Sawa na huko ntapitaKaribu sana Uwanja wa Fisi Manzese hata Argentina panafaa ili ulinganishe na Masaki, Kunduchi au Ohio
Mkuu mimi nilianziaga pale, unachungulia wale swala wakubwa na tausi. Siku hizi makirikiri kila kona na ukijchanganya unakula konzi na makofi ya kufa nyumbu.Ikulu sikuhizi kuna wanyamapori, nadhani patakufaa. Anza na utalii wa ndani
Ndio mnapaita Kwa wahaya....Temeke sudan kwenye ule uchochoro ulopambwa kwa taa nyekundu na kijan huku wenye vyumba wamekaa zao nje kukuvutia mtembeaji
Mara ya kwanza kufika nilipelekwa Magogoni 'Striti', kisha baharini kushangaa baharini, kisha kadaraja ka Manzese.
Njoo ushauri watu machimbo ya kushangaa hasa sisi wa Miji kasoro Dar.