Mtu Akikuuliza Una Miaka Mingapi Usikurupuke Kumtajia Idadi

Mtu Akikuuliza Una Miaka Mingapi Usikurupuke Kumtajia Idadi

SuperImpressor

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
1,505
Reaction score
648
Siku moja kuna preacher mmoja alikuwa anatupatia vitu vitamu vitamu kama mnawavyojua hao jamaa hawakosagi vitu;

Dah! Niliguswa pale aliposema;

Mtu alikuuliza una miaka mingapi usimwambie miaka yako ila mwonyeshe mambo uliyoyafanya kwa miaka hiyo.[emoji848]

Sent from my cupboard using mug
 
Inabidi uanze kumtajia mafanikio yako mpaka kufikia muda huu,
Dah! Noma kweli aisee.

Sent from my cupboard using mug
 
Siku moja kuna preacher mmoja alikuwa anatupatia vitu vitamu vitamu kama mnawavyojua hao jamaa hawakosagi vitu;

Dah! Niliguswa pale aliposema;

Mtu alikuuliza una miaka mingapi usimwambie miaka yako ila mwonyeshe mambo uliyoyafanya kwa miaka hiyo.[emoji848]

Sent from my cupboard using mug
na km hkun ulichokifanya..!!
 
Umri sio kitu cha siri, ni ujinga tu kuficha.... wengi ni aibu kama maisha yao hayaendani na umri.
 
Umri wangu ni miaka ya kutosha au nina miaka ya kutosha kuitwa Kijana/ Baba/ Babu
 
Umri sio kitu cha siri, ni ujinga tu kuficha.... wengi ni aibu kama maisha yao hayaendani na umri.
Kabisa mmkuu.

Mimi watu huwa nawatajia umri wangu wanashangaa wanasema doooh tukajua una miaka mingi kumbe bwana mdogo tu.

Huwa nawaambia kuwa kuna waziri ama balozi huko zanzibar miaka hiyo alichaguliwa akiwa na miaka 22 tu sasa wewe unashangaa miaka hii.
 
Preacher alimaanisha kuwa kuna watu wanajisifiaga kuwa na miaka mingi, hivyo akasema kuliko kujisifia kuwa una miaka mingi ..............

Sent from my cupboard using mug
 
Back
Top Bottom