SuperImpressor
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 1,505
- 648
na km hkun ulichokifanya..!!Siku moja kuna preacher mmoja alikuwa anatupatia vitu vitamu vitamu kama mnawavyojua hao jamaa hawakosagi vitu;
Dah! Niliguswa pale aliposema;
Mtu alikuuliza una miaka mingapi usimwambie miaka yako ila mwonyeshe mambo uliyoyafanya kwa miaka hiyo.[emoji848]
Sent from my cupboard using mug
Itabidi ubaki unachekacheka tu aisee.na km hkun ulichokifanya..!!
Kabisa mmkuu.Umri sio kitu cha siri, ni ujinga tu kuficha.... wengi ni aibu kama maisha yao hayaendani na umri.
Nilizaliwa kipindi hicho mahindi yako usawa huu...
ππππ Upi sasa mkuu