Physics expert New Member Joined Jun 13, 2020 Posts 3 Reaction score 3 Jan 25, 2024 #1 Samahani wadau! Mtu akirudia baadhi ya masomo mtihani wa form four Je, anapata cheti kingine? Au ikoje
Samahani wadau! Mtu akirudia baadhi ya masomo mtihani wa form four Je, anapata cheti kingine? Au ikoje
Dr Matola PhD JF-Expert Member Joined Oct 18, 2010 Posts 60,050 Reaction score 104,466 Jan 25, 2024 #2 Msaada, nina vyeti viwili vya kidato cha nne. Necta wanaweza kuunganisha na kupata cheti kimoja? Wadau na watalaam wa masuala ya elimu, NECTA wanaweza kuunganisha cheti cha kwanza na cha pili ni cha kureseat mtihani na kupata cheti kimoja? Kama inawezekana nianzie wapi ili niweze kusaidiwa? Karibu. www.jamiiforums.com
Msaada, nina vyeti viwili vya kidato cha nne. Necta wanaweza kuunganisha na kupata cheti kimoja? Wadau na watalaam wa masuala ya elimu, NECTA wanaweza kuunganisha cheti cha kwanza na cha pili ni cha kureseat mtihani na kupata cheti kimoja? Kama inawezekana nianzie wapi ili niweze kusaidiwa? Karibu. www.jamiiforums.com
Voice of Tanzania JF-Expert Member Joined Sep 23, 2018 Posts 2,036 Reaction score 3,107 Jan 25, 2024 #3 Ndio anapata cheti kingine kama mwanzo alipata matokeo ya chet basi atakuwa na viwili