Ultimate
JF-Expert Member
- Nov 29, 2016
- 739
- 1,888
Leo kwenye mzungumzo yangu nilikua naongea na mtu sasa kuna mda nilikua naongea utani akawa anacheka mwisho akaguna akaniuliza ivi ww ni wa rangi gani? Nikamjibu kwa nini, akaniambia nimwambie tu mm ni rangi gani, mm nika mwambia green akatabasam. Maswala ya rangi yakaishia hapo.
Nikabaki najuiliza alikua anamaanisha nn mpaka mda huu
Nikabaki najuiliza alikua anamaanisha nn mpaka mda huu