2013 JF-Expert Member Joined Aug 2, 2011 Posts 11,360 Reaction score 6,069 Mar 24, 2013 #1 wana jfnaomba kuuliza, nimesoma madharA YA PULI LAKINI SIJAPATA kusikia tiba ya mwathirika wa hii kitu anawezaje kupona na kurudi hali ya kawaida zaidi ya kuacha kupiga puli
wana jfnaomba kuuliza, nimesoma madharA YA PULI LAKINI SIJAPATA kusikia tiba ya mwathirika wa hii kitu anawezaje kupona na kurudi hali ya kawaida zaidi ya kuacha kupiga puli
Herbalist Dr MziziMkavu JF-Expert Member Joined Feb 3, 2009 Posts 42,872 Reaction score 34,363 Mar 24, 2013 #2 Mkuu.2013 Kama umethirika na Punyeto hebu jaribu kutembelea hapa https://www.jamiiforums.com/jf-doctor/196934-dawa-za-nguvu-za-kiume-kwa-anayetaka.html Hakuna Dawa Hospitali ya Kurudisha jinsi ulivyoathirika na kupiga Punyeto zaidi ya kutafuta na Dawa za Nguvu ya kiume.Ndio maana tunapiga Makelel watu wasipige Punyeto lakini hawasikii .
Mkuu.2013 Kama umethirika na Punyeto hebu jaribu kutembelea hapa https://www.jamiiforums.com/jf-doctor/196934-dawa-za-nguvu-za-kiume-kwa-anayetaka.html Hakuna Dawa Hospitali ya Kurudisha jinsi ulivyoathirika na kupiga Punyeto zaidi ya kutafuta na Dawa za Nguvu ya kiume.Ndio maana tunapiga Makelel watu wasipige Punyeto lakini hawasikii .
Meljons JF-Expert Member Joined Jun 25, 2012 Posts 3,105 Reaction score 1,406 Mar 24, 2013 #3 nothing is impossible before God.. by TB Joshua