Mtu aliyebatizwa anaweza vipi kufanya uovu?

Mtu aliyebatizwa anaweza vipi kufanya uovu?

Poppy Hatonn

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2021
Posts
3,095
Reaction score
4,632
Siku moja nilikuwa napita Kariakoo sokoni.

Pale alikuwepo muuza magazeti kapanga magazeti pale, wengine wananunua, wengine wanasimama tu pale kutazama.

Ilikuwepo headline pale kwenye gazeti moja Imeandikwa, "MTIKILA ASEMA BABA WA TAIFA ANASTAHILI KUUAWA"

Siku zile watu walikuwa patient na Baba wa Taifa alikuwa ameshang'atuka.

Mi nilipoiona Ile headline, I was very shocked. Halafu nilipotazama pale karibu, nikamwona jamaa mmoja mwanachama wa DP, pia mtu wa dini ambaye nilikuwa namuona sana katika malumbano ya dini kwenye uwanja wa Mnazi Mmoja kabla Mrema hajayapiga marufuku.

Kwa hiyo, nilipomuona yule jamaa nikasema,"We si mwanachama wa DP? Sikiliza, ukimuona MTIKILA mwambie kwamba yeye ni xxxxxxxx."

Akaniambia, we umebatizwa? Nikasema, ndiyo,(kwani nini)?

Akasema kama umebatizwa, unaweza vipi kuongeza lugha ya namna hiyo?

Naandika hivi, kwa sababu nilikuwa naitazama ripoti ya Sativa YouTube, ripoti ambayo bado sijapata muda kuisikiliza kwa sababu ni ndefu sana.

Lakini huyu Sativa katendewa ukatili na mi najiuuliza, Wakristu au Waislamu wanaweza vipi kufanya ukatili namna hii?

Soma=> Alichosimulia Edgar Mwakabela "Sativa" kuhusu waliomteka na kumpiga Risasi ya Kichwa
 
Siku moja nilikuwa napita Kariakoo sokoni.
Pale alikuwepo muuza magazeti kapanga magazeti pale, wengine wananunua, wengine wanasimama tu pale kutazama.
Ilikuwepo headline pale kwenye gazeti moja Imeandikwa, "MTIKILA ASEMA BABA WA TAIFA ANASTAHILI KUUAWA"
Siku zile watu walikuwa patient na Baba wa Taifa alikuwa ameshang'atuka.
Mi nilipoiona Ile headline,I was very shocked.
Halafu nilipotazama pale karibu,nikamwona jamaa mmoja,mwanachama wa DP,pia mtu wa dini ambaye nilikuwa namuona sana katika malumbano ya dini kwenye uwanja wa Mnazi Mmoja,kabla Mrema hajayapiga marufuku.
Kwa hiyo,nilipomuona yule jamaa nikasema,"We si mwanachama wa DP? Sikiliza,ukimuona MTIKILA mwambie kwamba yeye ni xxxxxxxx."
Akaniambia,"We umebatizwa?"
Nikasema,"Ndiyo,( kwani nini)?"
Akasema,"Kama umebatizwa, unaweza vipi kuongeza lugha ya namna hiyo?"

Naandika hivi,kwa sababu nilikuwa naitazama ripoti ya Sativa YouTube, ripoti ambayo bado sijapata muda kuisikiliza,kwa sababu ni ndefu sana.
Lakini huyu Sativa katendewa ukatili na mi najiuuliza,"Wakristu au Waislamu wanaweza vipi kufanya ukatili namna hii?"



Wewe umepanga kuacha legacy gani katika Taifa letu la Tanzania ?
 
Back
Top Bottom