comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 3,411
- 4,435
Hua najiuliza Sana, na hii nimejiuliza zaidi baada ya kujua asilimia kubwa ya wananchi nchini Netherlands hawana DINI na Hawaamini katika uwepo Mungu
Baada ya kuona Shomvi Haji Manara akiranda randa katika viunga vya Utrecht nchini Holland/Netherlands akitoa ushuhuda katika comment kwenye post yake ya Instagram kua kule asilimia kubwa wananchi hawana DINI na Hawaamini uwepo wa Mungu
Najiuliza hawa watu inamaana hawafanyi MAOMBI yoyote ya kiroho? Wanaamini katika nini?