Mtu ambaye amewahi kutibiwa tatizo la maumbile madogo (kibamia) na akapona anisadie

Kama inasimama fresh tu achana na hayo madawa mengi yana madhara makubwa sana
 
kama ni hivo kwanini wanalalamikia udogo wa uume? na kwanini wanaleta dharau?
Sio wote isipokua wahuni tuu kama ni hivo ndoa zoote zilizopo na kudumu zingekua za wenye mitarimbo lakini sivyoo....
mfumo wa maisha saa hivi mwanamke anafanya juu chini kumshusha mwanaume kwa namna zoote so kitendo cha mwanamke kutaka wenye mihogo sio kama ni suluhisho la matamanio yao bali ni namna yakuhalalisha uhuru wao wa kufanya mambo yao hasa yaliyokinyume na tamaduni zetu pamoja na Mungu
 
Mbona mtu mwenyewe unaulizwa kistaarabu tu unawaaka; kama unataka msaada anza kuonyesha ushirikiano
 
Kuna vitabu vinavyo husisha mazoezi yakuongeza ukubwa wa uume utanitumia email yako PM, nitatafuta muda wakukutumia uvisome mwenyewe unaweza ukaongeza Inchi 1.5 Pia ipo dawa ambayo inaweza kuongeza unene na urefu kidogo, nyiingine ni ya kutumia pump hii huongeza unene zaidi
 
Usiombe ukawa nampini mkubwa mnene alafu ukutane nakadem kashotiii yani ngoma itagomaa kuzama utatamani ata uwe na chembamba
 
Hakuna dawa, zote ni fix tu. Ila kuna oparesheni ambayo haina guarantee na matokeo... Kuna njia nyingi za kumfurahisha mwanamke, dili na hilo somo...
 
Hivi yale maneno wanayosema juu ya mlegea hivi ni kweli? Huu mti unaitwa Kigelia Africana
 
Kaka angu nakutumia maelekezo na jina la dawa PM... utaenda tu utafute mwenyewe
 
Ikisimama urefu ni nchi 3.7+
Kipenyo ndio bado sijui namna ya kupima bu ni nyembamba somehow
Hiyo nchi 3.7 uneipima vip maana unaweza jihisi unakibamia kumbe wewe mwenyewe unakosea namna ya upimaji wako
 
Hivi yale maneno wanayosema juu ya mlegea hivi ni kweli? Huu mti unaitwa Kigelia Africana
Kuhusu kukuza kutumia huu mti sijui, ila najua ni tiba wa magonjwa mengi. Ni kweli jina lake ni Kigelia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…