Ahsante kwa andiko fikirishi! Nimetembelea kituo cha biashara pale ilipokuwa stand ya mkoa pale Ubungo Dar karibu na TBC. Yaani hili andiko lako limesadifu uwekezaji uliofanyika pale. Bora pangejengwa hospitali watu wakatibiwa. I stand to be corrected.Kwanini unakosea, kufanya maamuzi ya location ya biashara wakati una mtaji.
1. Hutaki Kutofanya utafiti wa soko
Watu wengi wanafungua biashara mahali fulani kwa kutegemea mawazo kichwani bila kuangalia watu wa eneo husika wanahitaji bidhaa hiyo, wana uwezo wa kununua na ushindani WA hapo au eneo hilo ni center ya biashara mfano WATU wakija eneo hilo Kwa ajili ya huduma au kununua wanaweza kuona bidhaa/huduma YAKO.
2. Tabia ya kufata bei nafuu ya pango
Wengine huchagua sehemu kwa sababu pango ni rahisi.
Lakini mara nyingi sehemu yenye pango rahisi huwa mbali na watu wengi, pili haina mzunguko mkubwa wa wateja. Usisahahu Biashara inahitaji wateja wengi zaidi kuliko pango rahisi.
3. Kufata mkumbo
Mtu anaona biashara fulani imefanikiwa sehemu fulani, naye anaenda kuiga bila kuchunguza sababu za mafanikio. Hayo.
4. Kushindwa kuelewa mazingira
Kila eneo lina tabia yake.
Mfano, Eneo la wanafunzi linafaa kwa chakula cha bei nafuu na mahitaji madogo madogo ya msimu, Eneo la watu wenye kipato kikubwa linafaa kwa bidhaa au huduma zenye ubora. Ukikosea kuelewa tabia ya eneo, biashara inakuwa ngumu.
5. Maamuzi ya haraka
Wengine wana mtaji na wanataka kuanza fasta fasta bila kufanya uchunguzi wa muda.
Biashara nzuri mara nyingi huanza kwa kuangalia eneo, watu, na mahitaji yao kwa muda flani.
Nimeandika uzi BAADA ya kuona MTU kaanzisha biashara Eneo lile nililotoka biashara Ile Ile iliyofeli pale na muda wote anashika tama.
Eneo liko vile vile
Nini maana ya mtaji mdogo?Kama mtu ana mtaji mdogo afanye nini ili asikumbane na haya?
Kuna bidada hapa kaunguza US $ 350,000 kafungua gym sehemu haina wateja (northeast USA), miezi michache hata mwaka haujafika kafunga biashara.Kwanini unakosea, kufanya maamuzi ya location ya biashara wakati una mtaji.
1. Hutaki Kutofanya utafiti wa soko
Watu wengi wanafungua biashara mahali fulani kwa kutegemea mawazo kichwani bila kuangalia watu wa eneo husika wanahitaji bidhaa hiyo, wana uwezo wa kununua na ushindani WA hapo au eneo hilo ni center ya biashara mfano WATU wakija eneo hilo Kwa ajili ya huduma au kununua wanaweza kuona bidhaa/huduma YAKO.
2. Tabia ya kufata bei nafuu ya pango
Wengine huchagua sehemu kwa sababu pango ni rahisi.
Lakini mara nyingi sehemu yenye pango rahisi huwa mbali na watu wengi, pili haina mzunguko mkubwa wa wateja. Usisahahu Biashara inahitaji wateja wengi zaidi kuliko pango rahisi.
3. Kufata mkumbo
Mtu anaona biashara fulani imefanikiwa sehemu fulani, naye anaenda kuiga bila kuchunguza sababu za mafanikio. Hayo.
4. Kushindwa kuelewa mazingira
Kila eneo lina tabia yake.
Mfano, Eneo la wanafunzi linafaa kwa chakula cha bei nafuu na mahitaji madogo madogo ya msimu, Eneo la watu wenye kipato kikubwa linafaa kwa bidhaa au huduma zenye ubora. Ukikosea kuelewa tabia ya eneo, biashara inakuwa ngumu.
5. Maamuzi ya haraka
Wengine wana mtaji na wanataka kuanza fasta fasta bila kufanya uchunguzi wa muda.
Biashara nzuri mara nyingi huanza kwa kuangalia eneo, watu, na mahitaji yao kwa muda flani.
Nimeandika uzi BAADA ya kuona MTU kaanzisha biashara Eneo lile nililotoka biashara Ile Ile iliyofeli pale na muda wote anashika tama.
Eneo liko vile vile
Kuna aina ya biashara unatamani kufungua maeneo yaliyo na wateja wengi lakini kutokana na kiasi ulichonacho unaamua kutafuta sehemu ya kawaida yenye pangonla bei mdogo na bidhaa zako mbili tatu,Nini maana ya mtaji mdogo?
Nijibu hapa kwanza twende mbele
Kama mtu ana mtaji mdogo afanye nini ili asikumbane na haya?
Kama mtaji ni mdogo kulingana na maelezo ya hapo juu, maana yake ni kwamba biashara unayotaka kufanya inahitaji uwekezaji zaidi YAANI location ambayo kwa wakati huo huwezi kui-afford.Kuna aina ya biashara unatamani kufungua maeneo yaliyo na wateja wengi lakini kutokana na kiasi ulichonacho unaamua kutafuta sehemu ya kawaida yenye pangonla bei mdogo na bidhaa zako mbili tatu,
Umeelewa?
Ni hatari sana mkuu WENGINE hufanya biashara Kwa hisia na passion, kimsingi wawekezaji WANATAKA kuona matunda si longolongoKuna bidada hapa kaunguza US $ 350,000 kafungua gym sehemu haina wateja (northeast USA), miezi michache hata mwaka haujafika kafunga biashara.
Kachujua sehemu kubwa sana kuliko uwezo wa biashara yake ku support. Alikuwa analipa rent tu $30,000 kwa mwezi, hapo bado nishahara ya wafanyakazi wake na vifaa vya gym alivyonunua.
Alivyoanzisha aliniomba niungane naye tuchanganye mtaji, nikaona hii biashara sijaelewa itaingiza pesa vipi sehemu haina wateja. Yeye akawa anataka kuanzisha kibishi.
Nikaona hii biashara ni passion zaidi ya profit.
Na kweli, ikawa hivyo hivyo.
Biashara inataka passion, lakini passion ikae backseat data za viability na Cost Benefit Analysis ziongoze kuendesha biashara.Ni hatari sana mkuu WENGINE hufanya biashara Kwa hisia na passion, kimsingi wawekezaji WANATAKA kuona matunda si longolongo
Ni kweli mkuuBiashara inataka passion, lakini passion ikae backseat data za viability na Cost Benefit Analysis ziongoze kuendesha biashara.
Huyo dada alikuwa anaendeshwa na passion kuliko data.
Unafungua biashara kwa gharama kubwa kwa matumaini tu kwamba ukijenga watakuja.
Mara nyingine unaweza kujenga sehemu ambayo hawapo, ukatumia pesa nyingi na wasije.
hii kitu inawakuta vijana wengi hata apa chini lakni unashanga anakuja mlugaluga moja(wengi kutoka upinzani) ambae hata biashasha hajui ana tupa lawama kwa mlaka ya TRAKuna bidada hapa kaunguza US $ 350,000 kafungua gym sehemu haina wateja (northeast USA), miezi michache hata mwaka haujafika kafunga biashara.
Kachukua sehemu kubwa sana kuliko uwezo wa biashara yake ku support. Alikuwa analipa rent tu $30,000 kwa mwezi, hapo bado nishahara ya wafanyakazi wake na vifaa vya gym alivyonunua.