Mtu anachezea nyoka kisha anasema “wow, so beautiful “

Hawa watu wana upendo sana na wanyama;
1. Ni vigumu mzungu kung'atwa na mbwa hata awe mkali vipi.
2. Wanyama wengi wanaelewana na wazungu haraka sana
 
Hawa watu wana upendo sana na wanyama;
1. Ni vigumu mzungu kung'atwa na mbwa hata awe mkali vipi.
2. Wanyama wengi wanaelewana na wazungu haraka sana
Mbona wanateketeza wanyama wetu na trophies? Huwajui uzuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…