I igihumbi JF-Expert Member Joined Feb 20, 2017 Posts 529 Reaction score 483 Jan 5, 2019 #1 habari wana jf naomba msaada wenu kama kuna mtu anaelima kilimo cha mpunga shadidi nahitaji kuingia katika hiki kilimo kwani nimeona ni chenye tija na manufaa. naomba kama unafanya hichi kilimo ni pm mawasiliano yako.
habari wana jf naomba msaada wenu kama kuna mtu anaelima kilimo cha mpunga shadidi nahitaji kuingia katika hiki kilimo kwani nimeona ni chenye tija na manufaa. naomba kama unafanya hichi kilimo ni pm mawasiliano yako.