Mtu anaposema tuwaige simba ili tupate mafanikio, tunawaiga katika kipi?

Mtu anaposema tuwaige simba ili tupate mafanikio, tunawaiga katika kipi?

mbati nenga

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2017
Posts
267
Reaction score
344
Kwanza niweke wazi, Mimi ni mwanachama wa yanga na ni mnazi pia wa klabu hii. Nimeamua kuandika uzi huu ili kupata mtazamo wa watu mbalimbali ambao wanauelewa mpana kuhusiana na maswala ya soka na uwekezaji.

Kumekuwa na maneno mengi kutoka kwa watu wa simba na baadhi ya watu wa yanga ambao huwa wanasema klabu yanga iwaige Simba ili iweze kupata mafanikio kimataifa.

Sasa swali langu ni hiv, tunawaiga simba katika kipi? Je ni uwekezaji? Na kama uwekezaji simba imefanya uwekezaji mkubwa kiasi gani na kwa namna gani ili tuwaige? Na kama kuna namna nyingine pia inabid ifafanuliwe vizur.

Naomba kuwasilisha
 
Maana yake Yanga aige uchawi, fitina za kupuliza madawa kwenye vyumba vya timu pinzani, kuhonga marefa n.k ilo haliwezekani Yanga inaendeshwa kitaalamu. Msingi wa mafanikio ni uwekezaji wa kitaalamu, mpira hauna shortcut.
 
Mimi nadhani kuanzia msimu huu na misimu mingine ijayo, Simba ina cha kujifunza kwa Yanga!
 
simba Kwenye ranking ya caf (viwango vya ubora wa timu) simba ni ya 14 yanga sijajua ya ngapi vile.....
Ukisema hivyo wao wanakuliza wameleta Kombe gani la CAF.. Wao kwao mafaniko ni kubeba Taji tu
 
Simba ya 14 Africa, yanga ya ngapi? Nani hapo ajifunze kwa mwenzie?
Hata baadhi ya Nchi kama Uganda zimeizidi Tanzania kwenye viwango vya FIFA, lakini mchezaji akitoka Uganda na kuja kucheza mpira Bongo, anaona kama amepiga hatua vile.

Hivyo hizo ranking zenu hazina jipya.
 
Mimi simba Ila kusema ukweli labda mjifunze uchawi, sound za mo na barbara + kuibia mashabiki pesa za uwanja ambazo had I Leo hatujui zipo wapi?

Hapo kwenye ni baada na SIIO kukasirika baada ya kushushwa jukwaani
 
Hata baadhi ya Nchi kama Uganda zimeizidi Tanzania kwenye viwango vya FIFA, lakini mchezaji akitoka Uganda na kuja kucheza mpira Bongo, anaona kama amepiga hatua vile.

Hivyo hizo ranking zenu hazina jipya.
Wamesikika vyura kutoka bwawani.
 
simba Kwenye ranking ya caf (viwango vya ubora wa timu) simba ni ya 14 yanga sijajua ya ngapi vile.....
Wangeweka na rank za uchawi...!!! Ule moto pale sauzi na wale paka hapa TZ wallah Simba wangeongoza
 
Kwanza niweke wazi, Mimi ni mwanachama wa yanga na ni mnazi pia wa klabu hii. Nimeamua kuandika uzi huu ili kupata mtazamo wa watu mbalimbali ambao wanauelewa mpana kuhusiana na maswala ya soka na uwekezaji.

Kumekuwa na maneno mengi kutoka kwa watu wa simba na baadhi ya watu wa yanga ambao huwa wanasema klabu yanga iwaige Simba ili iweze kupata mafanikio kimataifa.

Sasa swali langu ni hiv, tunawaiga simba katika kipi? Je ni uwekezaji? Na kama uwekezaji simba imefanya uwekezaji mkubwa kiasi gani na kwa namna gani ili tuwaige? Na kama kuna namna nyingine pia inabid ifafanuliwe vizur.

Naomba kuwasilisha
Mkuu mbati nenga wanaposema yanga inatakiwa iwaige Simba Ni sahihi Na Wala c uongo Sasa tunakuja kwa mantiki ipi mechi za champions league zote lazima ujue kuzicheza unapokuwa ugenini ucheze VP Na nyumbani ucheze VP inatakiwa utumie uwanja wa nyumbani kuliko ugenini Na Hapo Ndo yanga inapofeli mfano yanga vs Rivers United unapoteza nyumbani unataka ukashinde ugenini kwa timu Kama yanga ni uongo inatakiwa ushinde nyumbani halaf ugenini ukaforce sare. Haya mashindano yanafigusu nyingi ili uwe bingwa inabid ucheze mechi nje Na ndani Pia wekeza kwa maana ya kununua wachezaji wenye quality Na Pia mfano zile hujuma alizofanyiwa Tp mazembe Na berkane Ile Ni hujuma Al ahyl Na raja Casablanca Ile Ni hujuma Sasa nyie Na vitu vingi Na Simba ama wachezaji wa Simba wanatakiwa wajifunze kwa wachezaji wengne mfano Goli la Orlando pirates wachezaji wa Simba walishindwa kumshawishi muamuzi kwa nguvu kwenda kwenye VAR Tshabalala ananyoosha mikono tu
 
Back
Top Bottom