mbati nenga
JF-Expert Member
- Feb 18, 2017
- 267
- 344
Umepanic bromsiwaige simba waigeni singing utd
Naomba unifafanulie ni uwekezaji wa namna gani umeufanya kufikia mafanikio hayo ili tuwaigesimba Kwenye ranking ya caf (viwango vya ubora wa timu) simba ni ya 14 yanga sijajua ya ngapi vile.....
Hahaha[emoji23]msiwaige simba waigeni singing utd
Ka-panic au kakueleza iliyo kweli?Weye ni mnazi wa Yanga.Ya Simba hauwezi kuyaona mazuri hata kidogo.Umepanic bro
Kuwafunga mbeya kwanza geita gold nk au?Mimi nadhani kuanzia msimu huu na misimu mingine ijayo, Simba ina cha kujifunza kwa Yanga!
Onesha heshima basi kwa Bingwa wako wa NBC na Kombe la shirikisho la Azam msimu huu. Achilia mbali mshindi kwenye Ngao ya Jamii.Kuwafunga mbeya kwanza geita gold nk au?
Mpka dakika hii simba ndio bingwa (mtetezi) NBC na FA ww ndo uwe na heshimaOnesha heshima basi kwa Bingwa wako wa NBC na Kombe la shirikisho la Azam msimu huu. Achilia mbali mshindi kwenye Ngao ya Jamii.
Ukisema hivyo wao wanakuliza wameleta Kombe gani la CAF.. Wao kwao mafaniko ni kubeba Taji tusimba Kwenye ranking ya caf (viwango vya ubora wa timu) simba ni ya 14 yanga sijajua ya ngapi vile.....
Bingwa au bingo? Bingwa gani mtetezi tangu ligi ianze hadi inaelekea kuisha hajawahi kukaa juu(wa kwanza) kimsimamo [emoji848][emoji3526]Mpka dakika hii simba ndio bingwa (mtetezi) NBC na FA ww ndo uwe na heshima
Simba ya 14 Africa, yanga ya ngapi? Nani hapo ajifunze kwa mwenzie?Mimi nadhani kuanzia msimu huu na misimu mingine ijayo, Simba ina cha kujifunza kwa Yanga!
Hata baadhi ya Nchi kama Uganda zimeizidi Tanzania kwenye viwango vya FIFA, lakini mchezaji akitoka Uganda na kuja kucheza mpira Bongo, anaona kama amepiga hatua vile.Simba ya 14 Africa, yanga ya ngapi? Nani hapo ajifunze kwa mwenzie?
Wamesikika vyura kutoka bwawani.Hata baadhi ya Nchi kama Uganda zimeizidi Tanzania kwenye viwango vya FIFA, lakini mchezaji akitoka Uganda na kuja kucheza mpira Bongo, anaona kama amepiga hatua vile.
Hivyo hizo ranking zenu hazina jipya.
Wangeweka na rank za uchawi...!!! Ule moto pale sauzi na wale paka hapa TZ wallah Simba wangeongozasimba Kwenye ranking ya caf (viwango vya ubora wa timu) simba ni ya 14 yanga sijajua ya ngapi vile.....
Mkuu mbati nenga wanaposema yanga inatakiwa iwaige Simba Ni sahihi Na Wala c uongo Sasa tunakuja kwa mantiki ipi mechi za champions league zote lazima ujue kuzicheza unapokuwa ugenini ucheze VP Na nyumbani ucheze VP inatakiwa utumie uwanja wa nyumbani kuliko ugenini Na Hapo Ndo yanga inapofeli mfano yanga vs Rivers United unapoteza nyumbani unataka ukashinde ugenini kwa timu Kama yanga ni uongo inatakiwa ushinde nyumbani halaf ugenini ukaforce sare. Haya mashindano yanafigusu nyingi ili uwe bingwa inabid ucheze mechi nje Na ndani Pia wekeza kwa maana ya kununua wachezaji wenye quality Na Pia mfano zile hujuma alizofanyiwa Tp mazembe Na berkane Ile Ni hujuma Al ahyl Na raja Casablanca Ile Ni hujuma Sasa nyie Na vitu vingi Na Simba ama wachezaji wa Simba wanatakiwa wajifunze kwa wachezaji wengne mfano Goli la Orlando pirates wachezaji wa Simba walishindwa kumshawishi muamuzi kwa nguvu kwenda kwenye VAR Tshabalala ananyoosha mikono tuKwanza niweke wazi, Mimi ni mwanachama wa yanga na ni mnazi pia wa klabu hii. Nimeamua kuandika uzi huu ili kupata mtazamo wa watu mbalimbali ambao wanauelewa mpana kuhusiana na maswala ya soka na uwekezaji.
Kumekuwa na maneno mengi kutoka kwa watu wa simba na baadhi ya watu wa yanga ambao huwa wanasema klabu yanga iwaige Simba ili iweze kupata mafanikio kimataifa.
Sasa swali langu ni hiv, tunawaiga simba katika kipi? Je ni uwekezaji? Na kama uwekezaji simba imefanya uwekezaji mkubwa kiasi gani na kwa namna gani ili tuwaige? Na kama kuna namna nyingine pia inabid ifafanuliwe vizur.
Naomba kuwasilisha