Mtu anayesoma Project Planning and Management anaomba kazi wapi?

babuumzuri

Member
Joined
Sep 18, 2020
Posts
14
Reaction score
7
Samahani,

Naomba kuuliza mtu anayesoma kozi hiyo ya project planning and management anaweza kuapply wapi kazi?

Nahitaji kusoma kozi iyo nitakapomaliza form six.

Msaada tafadhali.
 
Project Planning ni sehemu ya Economics so nakushauri usome degree ya economics ili uwe na uelewa mpana kuhusu utekelezaji wa miradi mbalimbali International organisations na NGOs wanaajiri watu wenye taaluma hiyo.
 
Kiongozi, nimepitia michango ya baadhi ya members humu, nami nikaona nichangie japo kidogo.

1. Project Planning and Management ni pana sana, na kimsingi project ni kazi yoyote ile inayo husisha gharama and time (cost and time) kwa kipindi flani cha muda. (Specified time)

2. Ajira zipo nyingi sana, na hasa katika mashirika ya kimataifa na hata taasisi binafsi, ila kwakuwa tz bado kuna uhaba wa ajira, unakuta watu au waajiriwa wengi wanatumika katika position zaidi ya moja, ambapo wengi wanatumia uzoefu na sio utaalamu na hasa kwenye nyanja ya uandaaji na usimamizi wa miradi

3. Project Management ni course nzuri sana, kwakuwa dunia au Tanzania tuliyonayo sasa is all about project! Na ni ukweli uliowazi kuwa, tanzania tuna wataalamu wachache sana wa Projects vyuo vingi kwasasa wamestuka miaka ya hivi karibuni kutoa course hiyo. Hivyo bado tuna wataalamu wachache sana wa upangaji na usimamizi miradi, iwe serikalini au taasisi binafsi.

4. Project management hata ukifuatilia dunian, ni moja ya professional inayolipa zaidi duniani, nadhani iko katika 10 bora na hasa unapokuwa umetimiza baadhi ya sifa kama, kufanya mitihani ya professionals, inaitwa PMP project management professioanals courses au CPM certified project Managers. ambapo hata hapa tanzania kuna TIPM (Tanzania Institute of Project Managemnt) hawa wamepewa mamlaka ya kutoa na kusimamia mafunzo ya course mbali mbali za project hapa tanzania

5. Nikushauri , pamoja na michango mingi na ushauri unao weza kupewa hapa katika jukwaa letu pendwa! Naomba uchukue muda na tafakari kuhusu nini unapenda katika moyo wako.

6. Swala la uhakika wa ajira ni kwa course chache sana hapa tanzania, ambazo kwa siku za hivi karibuni nazo imekuwa tatizo kidogo, ambazo ni Ualimu, utabibu na kilimo. kwa nchi zilizo endelea, project planning and management ni hot cake, imfano Marekani, na ulaya kwa ujumla. Unaweza ingia katika mtandao (google) ukajisomea kwa uhakika zaidi

7. Project kwa dunia ya sasa nadhani ni sehem sahihi sana kwa kuwa, uwekezaji mkubwa unafanywa kupitia miradi, sasa itategemea na umahiri wako na bahati yako katika ajira.

Nakutakia kila la kheri.
 
Hapana! Sio kweli kiongozi! Binafsi nathubutu kusema kila somo linamipaka yake, lakini kubwa zaidi, haya masomo yote yana ethics zake tofauti kwa kila somo au course
 
Attachments

  • 16102662997713701352034329449648.jpg
    16102662997713701352034329449648.jpg
    120.7 KB · Views: 145
Kiongozi, nimepitia michango ya baadhi ya members humu, nami nikaona nichangie japo kidogo.

1. Project Planning and Management ni pana sana, na kimsingi project ni kazi yoyote ile inayo husisha gharama and time (cost and time) kwa kipindi flani cha muda. (Specified time)

2. Ajira zipo nyingi sana, na hasa katika mashirika ya kimataifa na hata taasisi binafsi, ila kwakuwa tz bado kuna uhaba wa ajira, unakuta watu au waajiriwa wengi wanatumika katika position zaidi ya moja, ambapo wengi wanatumia uzoefu na sio utaalamu na hasa kwenye nyanja ya uandaaji na usimamizi wa miradi

3. Project Management ni course nzuri sana, kwakuwa dunia au Tanzania tuliyonayo sasa is all about project! Na ni ukweli uliowazi kuwa, tanzania tuna wataalamu wachache sana wa Projects vyuo vingi kwasasa wamestuka miaka ya hivi karibuni kutoa course hiyo. Hivyo bado tuna wataalamu wachache sana wa upangaji na usimamizi miradi, iwe serikalini au taasisi binafsi.

4. Project management hata ukifuatilia dunian, ni moja ya professional inayolipa zaidi duniani, nadhani iko katika 10 bora na hasa unapokuwa umetimiza baadhi ya sifa kama, kufanya mitihani ya professionals, inaitwa PMP project management professioanals courses au CPM certified project Managers. ambapo hata hapa tanzania kuna TIPM (Tanzania Institute of Project Managemnt) hawa wamepewa mamlaka ya kutoa na kusimamia mafunzo ya course mbali mbali za project hapa tanzania

5. Nikushauri , pamoja na michango mingi na ushauri unao weza kupewa hapa katika jukwaa letu pendwa! Naomba uchukue muda na tafakari kuhusu nini unapenda katika moyo wako.

6. Swala la uhakika wa ajira ni kwa course chache sana hapa tanzania, ambazo kwa siku za hivi karibuni nazo imekuwa tatizo kidogo, ambazo ni Ualimu, utabibu na kilimo. kwa nchi zilizo endelea, project planning and management ni hot cake, imfano Marekani, na ulaya kwa ujumla. Unaweza ingia katika mtandao (google) ukajisomea kwa uhakika zaidi

7. Project kwa dunia ya sasa nadhani ni sehem sahihi sana kwa kuwa, uwekezaji mkubwa unafanywa kupitia miradi, sasa itategemea na umahiri wako na bahati yako katika ajira.

Nakutakia kila la kheri.
Umetixhaaaa
 
Samahani,

Naomba kuuliza mtu anayesoma kozi hiyo ya project planning and management anaweza kuapply wapi kazi?

Nahitaji kusoma kozi iyo nitakapomaliza form six.

Msaada tafadhali.
Nenda Chuo cha Usimamizi Miradi na Jiunge, Jumuiko la Wataalam wa Usimamizi Miradi, na fikia kuwa PMP. Dunia nzima pana mahitaji makubwa ya watu wenye sifa hizo.

Back
Top Bottom