Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Dunia hii ya leo ya kibepari kila mtu anataka fedha ya mwenzake kwa njia yoyote ile.
• Nashangaa mtu anajifanya anagawa pesa za UNICEF anawatapeli watu.
• Nashangaa pale mtu anapojifanya rafiki yuko USA baada ya siku mbili tu anajifanya amekutumia zawadi kisha kujifanya zimepotea mwelekeo na kufikia nchi jirani then unaambiwa utume pesa na wewe unatuma.
• Nashangaa kijana mwenye degree anatapeliwa na ma HR fake wa mtandaoni.
• Nashangaa ninapoona mtu anatapeliwa na wahuni wanaojifanya customer care attendants wa mitandao ya simu.
Hawa watu wanaotapeliwa kimtandao IQ yao iko below 20, inaelekea kwenye utahira.