Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Hivi watu wavivu kiasi gani, wanashindwa kuingia kwenye tovuti rasmi ya taasisi husika wapate uhakika wa kile wanachoambiwa.Mtu kutapeliwa huponzwa na tamaa zake yeye mwenyewe.
Kuna yeyote mwenye taarifa ya ubongo aliyetapeliwa? Unajua kuwa taarifa ya ubongo ni ugonjwa na wenye nao wamezaliwa nao na hawakupenda au kuamua kujitoa ufahamu? Wanastahili heshima na staha kama binadamu yeyote yule.Dunia hii ya leo ya kibepari kila mtu anataka fedha ya mwenzake kwa njia yoyote ile.
• Nashangaa mtu anajifanya anagawa pesa za UNICEF anawatapeli watu.
• Nashangaa pale mtu anapojifanya rafiki yuko USA baada ya siku mbili tu anajifanya amekutumia zawadi kisha kujifanya zimepotea mwelekeo na kufikia nchi jirani then unaambiwa utume pesa na wewe unatuma.
• Nashangaa kijana mwenye degree anatapeliwa na ma HR fake wa mtandaoni.
• Nashangaa ninapoona mtu anatapeliwa na wahuni wanaojifanya customer care attendants wa mitandao ya simu.
Hawa watu wanaotapeliwa kimtandao IQ yao iko below 20, inaelekea kwenye utahira.
Kama alitapeliwa kimtandao ñaye ana IQ ndogo au ni tahira kabisa.Kwa hiyo Riniwazi Kikeke yumo kwenye kundi la watu wenye Aikyu ndogo? Maana hadi mahakama ilimwokolea zile milioni zake.
Ufafanuzi tafadhali.