Shooter Again
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 5,603
- 9,263
Hesabu we huoni hapo million 10 na 20k Kwa siku ni mbingu na ardhi halafu biashara yenyewe bajajiTupe hesabu zako basi zinazosibitisha uchizi wake??
Hii sio mechi ni uchiziKila mtu ashinde mechi zake
Wewe ulitaka iwe shilingi ngapi mkuu marejeshoHesabu we huoni hapo million 10 na 20k Kwa siku ni mbingu na ardhi halafu biashara yenyewe bajaji
Hiyo sio biashara ya kufanya ni chizi pekee atanunua bajaji Ili kufanya biasharaWewe ulitaka iwe shilingi ngapi mkuu marejesho
Kwani utakuwa unategemea hiyo bajaji kwa kila kitu?? Hiyo biashara ni ya kuzungusha hela hata kama faida ni sio kihvyoo.Hesabu we huoni hapo million 10 na 20k Kwa siku ni mbingu na ardhi halafu biashara yenyewe bajaji
Hiyo bajaji kwa Hustle za bongo haiwezi maliza mwaka ikiwa nzima! Mleta mada ana hoja yenye mashiko!Tupe hesabu zako basi zinazosibitisha uchizi wake??
20,000x365days= 7,300,000 hiyo ni kwa mwaka mmoja.
Chizi pekee ndio ataweka 10 ml Kwa ajili ya 20k huku Bajaj ikiwq kwenye riskKwani utakuwa unategemea hiyo bajaji kwa kila kitu?? Hiyo biashara ni ya kuzungusha hela hata kama faida ni sio kihvyoo.
Kuna watu wanalisha familia mbili kwa bajaji mzee, nenda kitaa ujionee!
Sawa inategemea na routes, ila hizo ni assumption tu..,kuna siku haitofanya kazi pia.Hiyo bajaji kwa Hustle za bongo haiwezi maliza mwaka ikiwa nzima! Mleta mada ana hoja yenye mashiko!
Service ni juu ya dereva au mm mgeni??Ila ni kweli, kwa mwaka ni 7,300,000 bado service na mengineyo...