Brave_Idiot
JF-Expert Member
- Nov 18, 2023
- 227
- 393
Naona longolongo nyingi pale polisi. Nikikosa nita enda test TRA ulichonambia. Asante!Ukiwa na viambata hivyo sioni umuhimu wa connection tena kwa class D!!
Atakayekuhudumia mpe ngapingapi upate SMS ya kuifuata kesho yake.
BTW:Ofisi za TRA Mkoa vishoka wanarandaranda kwenye korido na parking hata ukimueleza mlinzi getini anakuunganisha nao wanakupitisha kwa mhusika.
lena ina mwezi. Nimekomea hapo test fee kulipia. Mimi ni wa auto, Polisi wanakaza hata siwaelewi!Lena ina muda gani tangu uikate vipi test fee umekata?
wanakaza wanasema bado nini ili wakupitishie lesenilena ina mwezi. Nimekomea hapo test fee kulipia. Mimi ni wa auto, Polisi wanakaza hata siwaelewi!
Nenda TRA class D easy sanaHabari ndugu zangu.
Nina Tin Number, Certificate ya Chuo cha udereva nilichosemea na Learner,. Kama una connection ya namna naweza pata leseni ya udereva class D kwa urahisi. Nicheki PM tukubaliane dau
Napatikana Dar es Salaam, Malipo ni baada ya Kunipa Leseni yangu. Asante!
Mkono mtupu haulambwilena ina mwezi. Nimekomea hapo test fee kulipia. Mimi ni wa auto, Polisi wanakaza hata siwaelewi!
Tatizo wakumlambisha ndo simfahamu!Mkono mtupu haulambwi
Alamba alamba hau hauTatizo wakumlambisha ndo simfahamu!
Tatzo lipogo hapo,muda mwingine unaweza mfaham lakin unahis akizingua utamkabili vipiTatizo wakumlambisha ndo simfahamu!
IlikopoteaLeseni yangu imepotea nianzie wapi?
Anzia hapoIlidondoka
Bado iko hai au iliisha?Ndio