Mtu asiyejua kabisa mchezo wa mpira wa kikapu (basketball) anaweza kujifunza na kuwa bora?

Bishazo_june

Member
Joined
Jul 3, 2023
Posts
42
Reaction score
55
Je, mtu ambaye hajawai kabisa kucheza wala hajui chochote kuhusu mpira wa kikapu (basketball) [emoji459] anaweza kujifunza mpaka akawa mchezaji bora wa mchezo huu?

Pia ni qualifications gani mtu anatakiwa awe nazo ili aanze kujifunza mchezo huu kwa lengo la kuwa mchezaji?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…