Mtu chake nitagombea Urais 2015

Mtu chake nitagombea Urais 2015

Tresor Mandala

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2010
Posts
40,905
Reaction score
86,203
..Ndugu zangu baada ya kutafakari na kujipima mimi na mai bebi Preta ni kwamba nitagombea urais km si urahisi
..timu yangu itakayonisindikiza kwenda kuchukua fomu ni. Mr Rocky.. Asprin.. mamDenyi.. Arushaone
Preta anza mazoezi kabisa ya kuwa FirstLady...

...chit chat zaidi..
..Heri ya Mwaka Mpya wote..
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Mweee.......mimi kuwa firstlady........oooh puliiiz.......sitaweza kubehave kama firstlady I swea..........nshajizoelea uswazi kwetu mie........

Utapelekwa kwenye semina elekezi....utamudu tu boss.
 
Mweee.......mimi kuwa firstlady........oooh puliiiz.......sitaweza kubehave kama firstlady I swea..........nshajizoelea uswazi kwetu mie........

Shost unapoteza bahati... Wengine tunalilia kuwa firstlady wewe unakataa... Basi naomba kuolewa na mmeo mtu chake kwa muda wote atakao kuwa madarakani!!!
 
Last edited by a moderator:
Mchukue tu shost wangu.........kwa kipindi anagombea lakini........akishinda narudi nyumbani kwa mume wangu........

Subutu......... Yaan nipambane wakati wa kampeni afu akishinda urudi khaaaaaaaaa. Tukubaliane akishinda unakaa benchi mpaka miaka mitano iishie. Kama akiendelea kuwa raisi hapo nitakuonea huruma. :flame: :wacko:
 
haiwezekani aisee.......that is my bebe you know........
 
Back
Top Bottom