Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
....Teh teh teh...mbn anayeondoka amezoea..?Mweee.......mimi kuwa firstlady........oooh puliiiz.......sitaweza kubehave kama firstlady I swea..........nshajizoelea uswazi kwetu mie........
..Ndugu zangu baada ya kutafakari na kujipima mimi na mai bebi Preta ni kwamba nitagombea urais km si urahisi
..timu yangu itakayonisindikiza kwenda kuchukua fomu ni. Mr Rocky.. Asprin.. mamDenyi.. Arushaone
Preta anza mazoezi kabisa ya kuwa FirstLady...
...chit chat zaidi..
..Heri ya Mwaka Mpya wote..
Mweee.......mimi kuwa firstlady........oooh puliiiz.......sitaweza kubehave kama firstlady I swea..........nshajizoelea uswazi kwetu mie........
Mweee.......mimi kuwa firstlady........oooh puliiiz.......sitaweza kubehave kama firstlady I swea..........nshajizoelea uswazi kwetu mie........
Shost unapoteza bahati... Wengine tunalilia kuwa firstlady wewe unakataa... Basi naomba kuolewa na mmeo mtu chake kwa muda wote atakao kuwa madarakani!!!
.....hiyo lazimaUtapelekwa kwenye semina elekezi....utamudu tu boss.
Mchukue tu shost wangu.........kwa kipindi anagombea lakini........akishinda narudi nyumbani kwa mume wangu........
Subutu......... Yaan nipambane wakati wa kampeni afu akishinda urudi khaaaaaaaaa. Tukubaliane akishinda unakaa benchi mpaka miaka mitano iishie. Kama akiendelea kuwa raisi hapo nitakuonea huruma. :flame: :wacko:
haiwezekani aisee.......that is my bebe you know........